mh. halima mdee apinga uamuzi wa serikali

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
kwenye taarifa ya habari ya itv 2 uck huu mh halima mdee pamoja na diwani wa eneo hilo amewaambia mafundi gereji eneo la tegeta wakeshe na hakuna kuondoka mpka serikali itakapowaona mbunge huyu anaenda kinyume na agizo la serikali lililoagiza wananchi hao kuondoka
 
Serikali iheshimu mamlaka ya raia iache ubabe kama wa Mtwara
 
Huyo ni mtetezi wa waajiri wake.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom