Mh. Ezekiel Maige aweka sokoni Hekalu lake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Ezekiel Maige aweka sokoni Hekalu lake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bagamoyo, Sep 16, 2012.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,535
  Likes Received: 2,116
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  [​IMG]

  source: Mwananchi


  Mh. Ezekiel Maige aliseama jumba lile alinunua kutokana na mapato halali ya biashara zake.

  Inakuwaje ghafla baada ya kupoteza ofisi ya Umma yaani Uwaziri inaonekana anashindwa kumudu gharama za maisha na kusingizia inamletea mkosi.

  Si aseme kuwa sasa dili zake zilikuwa zinakwenda kwa kutumia madaraka vibaya kupitia ofisi ya ummma.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Du kumbe mawaziri wanapiga hela haramu sana!!!
   
 3. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Hata kama angeuza tsh laki 2 nisingenunua. Maana hata kama una njaa vipi, ukipewa kipande cha nguru lazima ujiulize "JE KIMEOSHWA"?
   
 4. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  kwanini anauza hilo hekalu?
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Haaaaaa kwhyo jumba bovu hilo linaweza kumuangukia mtu.
   
 6. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  "Maumivu ya kichwa huanza pole polee!!!!!!!!!!!"
  Kashaanza kufulia huyo!

   
 7. M

  Makupa JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ni mali yake
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Maige sijawahi kumuelewa...? au laana za twiga....?
   
 9. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Ameshafulia so anahitaji hizo pesa mbaya! Si ana tena pa kupata Twiga wa kuwauza
   
 10. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Jamani mtu kuuza jumba lake kosa?
  Nani ana data kuwa alilipata kiharamu?
   
 11. P

  Prince Jackson Member

  #11
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anauza bei gani?
   
 12. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,959
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  angetubu pia kuhusu kuiba ma box ya kura za urais jimbo la Msalala. Hadi leo hakuna ajuaye matokeo ya Kikwete na dr. Slaa
   
 13. LENGIO

  LENGIO JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 1,033
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Auzee hotel yake ya karatu.
   
 14. N

  Ngoso JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Amesoma alama za nyakati amegundua atafute mapema mteja auze maana 2015 ubunge hapati utawala wa CDM hauna kulindana hivyo aanze mapema kufuatilia change za Twiga kabla CAG hajafumbuka macho. Teh teh teh
   
 15. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  laana imeshaanza kuwa tafuna ccm itaenda mmoja baada ya mwingine
   
 16. Antonov 225

  Antonov 225 JF-Expert Member

  #16
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Atauzaje mali ya watanzania? kwa sababu hizo hela ni za wananchi.
   
 17. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jambazi lile!Na laana hii itawapata hata watoto wenu watagongwa ovyoovyo tena mabarabarani shame upon you maige na Ccm majizi makubwa nyie mlolaaniwa
   
 18. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #18
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Usiibe: Warumi 13:19
  Kumbukumbu la Torati 5:19
  Luka 18:20
  Kutoka 20:15
  Mathayo 19:18
  marko 10:19
   
 19. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Ukiona mtu anaanza kurembua macho yake huku amekaa kwenye kiti (hafanyi kazi) ujue anakaribia kulala usingizi!
   
 20. MLUGURU

  MLUGURU JF-Expert Member

  #20
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 80
  mbio za sakafuni
   
Loading...