Mh Edward Lowassa ni mfano wa kuheshimu familia

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,788
4,490
2 (2).jpg

Familia ya Mh Edward Lowassa mkewe Regina Lowassa na mtoto wao Fred enzi hizo.

2 (1).jpg

Mr and Mrs Edward Lowassa
3.jpg
 
naskiaga ni mtu wa madili sana mpaka watu wanaugua, sasa mbona hujaweka pozi zinazoendana na usemi huo?
 
"Ziendeeni (konde) zenu mpendavyo"; mtaalamu sana huyu. Halagi vitu vibovu hata chembe. Kila anayefuatia mzuri kuliko aliyetangulia; kwa hakika wazuri bado kuzaliwa.
Mbona analia sasa atasoma albadili kumbe anakula vinono na anafaid?
 
Cc. Batilda.
Ama kweli usimuache mke wa ujana wako ila unaruhusiwa kumcheat, kuzaa nje n.k wanaume bana!
 
Safi sana tatum, huyu mzee anastahili heshima ila genge lile la wahuni aliko sasa linamkosesha heshima. Kuona jinsi Mama yetu alivyo pia na busara akakataa viti maalum maana jinsi wanavyowekana ni uhuni mtupu nadhani Lowassa aliwaona siyo waadilifu akamshauri mke wake akatae uteuzi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom