Mh. Dk Hamisi Kigwangalla MBUNGE wa Nzega (CCM) naye akurupuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Dk Hamisi Kigwangalla MBUNGE wa Nzega (CCM) naye akurupuka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lyimo, Mar 10, 2011.

 1. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mh. Kigwangalla amekishauri chama chake kijibu hoja za Chadema ili kurudisha imani kwa wananchi, kwani inachofanya CDM ni propaganda za kisiasa na si kweli. Amedai CCM imefanya mengi mazuri, ila CDM inaelezea yale mapungufu machache tu. Dk Kigwangalla alisema watakaoilinda CCM ni wana CCM wenyewe.

  Nachotaka Kumsaidia Mh. Dk Kigwangalla, akachukue listi ya ahadi lukuki za chama chake tangia 2005 alafu atiki zilizotimizwa? Akizipata hizo tutamuelewa.

  Maisha bora kea kila Mtanzania
   
 2. M

  Mkwele JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwanza jina lake la kichina. who is Said Nassor Bagaile?
   
 3. m

  mtimbwafs Member

  #3
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kwani huyu si alikuwa wa tatu kwenye kura za maoni na sisi watu wa Nzega tulimuona hatufai lakini wale mabwana wakubwa wa CCM wakamzengwe Msomali na Selelii kamanda wa DOWANS na kijana wa mama akapewa shukrani sasa mnashangaa nini kusema kwamba ccm imetenda mema meeengiiii kwa watanzania hasa yeye!!.

  Ni kweli hajakosea yeye kupewa uheshimiwa ni jambo kubwa sana hilo na anauhakika wa kula BATA kwa miaka 10 ijayo ila hofu yangu tu ni pale mukulu akiachia ngazi sijui tusubiri tuone 2015.
   
Loading...