xray
Member
- Aug 11, 2013
- 26
- 44
Tumeona kwamba Mh. Yusuf Manji diwani kata ya Mbagala Kuu amekuwa akiwapa wanafunzi lishe ili waweze kuzingatia masomo na kupeleka mahema na viti zaidi ya 800 katika shule zote katani. Mbagala kulikuwa na upungufu wa madarasa na sasa hali ni nzuri. Watu walichonga sana kwamba hatofanya kitu........ Je hao wanaofanya vitu wako wapi.....? WABUNGE amkeni............
Source: MilllardAyo blog
Source: MilllardAyo blog