Nimekusikia kwenye ishu ya Ushirika, kuwa hakuna mtu ambaye siyo mkulima kuwa kiongozi wa ushirika! Umekengeuka, kama wenzako akina kakobe, Gwajima etc (angalau hawa wanatetea makanisa yao na uraia wao) . Sasa wewe kinachokukeuza ni nini?
Njaa mwana malegeza! If you want to befriend a lion just starve it for several days and then feed it!
Pole , Mh Bashe , umekengeuka!
Njaa mwana malegeza! If you want to befriend a lion just starve it for several days and then feed it!
Pole , Mh Bashe , umekengeuka!