Mh. Bwana Bashe, nawe umeanza kukengeuka?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,364
73,952
Nimekusikia kwenye ishu ya Ushirika, kuwa hakuna mtu ambaye siyo mkulima kuwa kiongozi wa ushirika! Umekengeuka, kama wenzako akina kakobe, Gwajima etc (angalau hawa wanatetea makanisa yao na uraia wao) . Sasa wewe kinachokukeuza ni nini?

Njaa mwana malegeza! If you want to befriend a lion just starve it for several days and then feed it!
Pole , Mh Bashe , umekengeuka!
 
Nimekusikia kwenye ishu ya Ushirika, kuwa hakuna mtu ambaye siyo mkulima kuwa kiongozi wa ushirika! Umekengeuka, kama wenzako akina kakobe, Gwajima etc (angalau hawa wanatetea makanisa yao na uraia wao) . Sasa wewe kinachokukeuza ni nini?
Njaa mwana malegeza! If you want to be fried a lion just starve it for several days and then feed it!
Pole , Mh Bashe , umekengeuka!
Yule ni sisiemu. Endelea kudhani ni mfipa.
 
Ni sawa kabisa mana waswahili wanasema nyumba usio ishi haujui kunguni wake. Wew ni mfanyabiashara unataka kuongoza wakulima unadhan watatatua matatizo yao zaid ya kuwa tu madalali wa kila kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom