Mh Betty Machangu jitokeze kugombea uenyekiti wa UWT kwani una sifa na uwezo mkubwa

Huyu mama ni mjanja na mnafiki sana. Takukuru walimshindwa. Kwanza PHD yake ina utata. Uliza IFM alikokuwa anafundisha. Haeleweki. Sio material ya uongozi, .
Ndio maana alikimbilia kwenye siasa kazi ya kufundisha ilimahinda kabisa
 
Mkuu si kweli kama Takukuru wamemshindwa bali hakuwa na hatia ila alizushiwa ili kumchafua. Na kuhusu hapo unapopaita wewe IFM mbona mambo yake yapo wazi kabisa. Kuhusu elimu yake haina utata kabisa ila tu kama una nia ya kumchafua basi sema hivyo.
Unajua sisi watanzania huwa tunapumbazwa sana na vitu vidogo sana. Jamani wanajumuiya ya UWT muungeni mkono huyu mama ataleta matunda. Pole mkuu kama umetumwa na shangazi. Kaa ukijua shangazi hana hadhi ya kuongoza hii jumuiya!
Nina uhakika kuwa hana Phd
 
PhD ya online, alipopeleka kwa mkuu wa chuo wakati huo Prof. Doriye akachanacha transcript akaitupa kwenye dustbin
 
we ndo meneja kampen wake...una uhakika gani kwamba yeye anataka hiyo nafasi.?
Hapana mkuu ni mawazo si unajua tena humu JF ni kisima cha mawazo mazuri mengi lkn hata mabaya yapo pia.
Baada ya kuiona jumuiya hii inapoelekea sisi kama wanajumuiya tumeona huyu mama anafaa sana. Naomba tumuunge mkono tusimdhoofishe kiasi hicho kwa stori za kutunga!
 
mkuu huyu mama hana uwezo ili kuthibitisha hilo kwa nini alitaka kujipa Phd fake
 
Mzee si ndo yule aliyekuwa mfanya biashara mkubwa miaka ilee? Anyway simjui huyu mama kiuongozi kama anafaa au vipi.
 
Tahadhari, najua kuna wale wapambe wa Sophia simba. Kama mtakuja na hoja zenu za kummaliza huyu mama mjue mtashindwa kwa kuwa mungu atamsimamia hadi anaibuka mshindi.

nakumbuka akiwa mkuu wa wilaya ya kasulu kama sikosei, aligombea ubunge wa viti maalum kupitia mkoa wa Kilimanjaro, alikutwa akigawa rushwa. Bahati yake alikuwa demu wa yule mla Panya Buku, takakuru wakanyamazishwa ghafla! Alisamehewa na takakuru akigawa mamilioni, masikini ya mungu Mwakalebela aliyekutwa akitoa laki akawajibishwa. Betty gombea uone kama hujavuliwa nguo hadharani. Mtoa mada anataka kumwaibisha mrembo wa watu.
 
mkuu mbona umri wake umeshasogea halafu unamwita mrembo!
 
Back
Top Bottom