Mh Beatrice Shellkindo amekodi Mganga wa Kienye jimboni kwenda kukamata Wachawi!

Ni vigumu kuamini mama msomi na mwelewa kama bite anaweza kuwa na imani za kishirikina MUNGU atuepushe na aina hii ya viongozi kwani kuna siku tutaamriwa tuvae hirizi kujikinga na malaria
 
Tutaacha kuamini kuwa hata yeye hupanga foleni kwa wanga wakati wa uchaguzi ili ashinde??! Makubwa!
 
Hata kikwete amepeleka waganga mtwara kwa ajili ya kusafisha uchawi! hii ni baada ya mama salma kufanya ziara huko.. wakati amelala kwenye hotel aliyofikia wachawi wakamtoa nje na kumnyoa nywele zake za ........ , asubuhi alipoamka akajikuta nje!
so mkuu wa kaya akaamua kupeleka wataalamu kule na kazi inaendelea
Source: mmoja wa washirikina ambaye ni jirani yangu!

Network searching........
 
Nch hii inaongozwa na mizimu,mwaka jana Baraza lote la mawaziri ,MaDC,MaRC, NA MAJAJI,wote walikwenda kunywa dawa ya kishirikina Lol
 
Mh sofia simba,Lukuvi, Wasira,Mkono,Baraza lote la mawaziri wanaumwa magonjwa sugu ndio maana hawapangi mipango endelevu
 
wawaziri hawa wanaomwa magonjwa sugu yafaa wapanguliwe na kuwekwa wengine!
 
Beatrice Shelkindo na Edward Lowasa ,Hapohapo kuna Batrida Burian na Edward Lowasa .Leo hii Lowasa ni Mgonjwa kuliko.
 
Kazi kweli kweli. Wakati wachina wanaangalia cha kufanya next, sisi tuna angalia mganga gani atatufaa. Aliyetupa laana atusamahe, tumekoma
 
Mmh tangu lini mchawi akamtoa mchawi mwenzie hapo hamna kitu dawa ni kuokoka tu kwani YESU anawapenda na ndio njia pekee tuliyopewa ya kwenda mbinguni na kushinda nguvu zote za kishirikina. YES JESUS ONLY
 
Wana CCM kwa uchawi tu.... HATUJAMBO
Beatrice Shelkindo ameingia mgogoro na Mkuu wa wilaya baada ya kumugharimia mganga wa kienyeji aliyepewa jukumu la kupekuwa,nyumba za watu,makanisa na misikiti kwa lengo la kukamata wachawi na matunguli yao.Zoezi hilo limepingwa vikali na Mashehe jimboni humo kiasi cha kuleta mgogoro mkubwa.source Majira ya leo na vyanzo kutoka Tanga
 
Hata kikwete amepeleka waganga mtwara kwa ajili ya kusafisha uchawi! hii ni baada ya mama salma kufanya ziara huko.. wakati amelala kwenye hotel aliyofikia wachawi wakamtoa nje na kumnyoa nywele zake za ........ , asubuhi alipoamka akajikuta nje!
so mkuu wa kaya akaamua kupeleka wataalamu kule na kazi inaendelea
Source: mmoja wa washirikina ambaye ni jirani yangu!

nimeipenda Source ya habari mkuu
 
Hili limama mi nilishalitapika toka liliponyea kambi na kujiunga na mafisadi waliomtenda mumewe asirudi bungeni
 
Allah cant accept any ibadah from Mushirk

Mushy deeds are denied by Allah Subhan ho Talaah, Because shirk is a most bigger sin in islam.
 
Kumbe kwenye imani yetu wale wa dini nyingine ni WASHIRIKINA?
KAMA HUAMINI SOMA HAPA CHINI


Ibn al-Qayyim (may Allaah have mercy on him) said: it is not permissible for the Muslims to attend the festivals of the mushrikeen, according to the consensus of the scholars whose words carry weight. The fuqaha' who follow the four schools of thought have stated this clearly in their books… Al-Bayhaqi narrated with a saheeh isnaad from ‘Umar ibn al-Khattaab that he said: "Do not enter upon the mushrikeen in their churches on the day of their festival, for divine wrath is descending upon them." And ‘Umar also said: "Avoid the enemies of Allaah on their festivals." Al-Bayhaqi narrated with a jayyid isnaad from ‘Abd-Allaah ibn ‘Amr that he said: "Whoever settles in the land of the non-Arabs and celebrates their new year and festival and imitates them until he dies in that state, will be gathered with them on the Day of Resurrection." (Ahkaam Ahl al-Dhimmah, 1/723-724).
 
Back
Top Bottom