Mh. Asunga funga na hawa Makada wa CCM wamehujumu Geita SACCOS LTD

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,010
8,355
1.Muhoja Mapande Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Geita Mjini alikopa 5000,000/= miaka nane iliyopita hajawai lipa hata shilingi kumi mpaka leo chama kimekufa, na yeye ofisi zake zipo humo humo.

2.Francis Elias ni Katibu CCM Kigoma alikopa 30,000,000/= kwa fhamana ya mshahara halipi kabisa.

3. Patrick Kusaga alikopa 12,872,766.35/= halipi kabisa ni katibu CCM Wilaya ya Kigoma halipi hata senti tano miaka minane iliyopita.

4.Gervas Makoye anadaiwa milioji 12,509,023/= ni katibu wa CCM wa Mbogwe anadaiwa hajawahi kulipa.

5.Joseph Isuka katibu CCM Vijana alikopa milioni 8,066,565.25/= mpaka leo halipi.

6.Yulitha Gidion huyu alikuwa secretary wa katibu wa CCM Mkoa WA Geita alikopa na kukimbia na 2,278,782/= halipi.

7.Nicholaus Kasendemila katibu wa CCM Wilaya ya Dodoma 2,241,095/= halipi chochote miaka nane iliyopita

wadahiwa hawa viongozi wa Chama cha Mapinduzini watumishi wa chama chao wanadaiwa jumla shilingi Milioni 66,968,232.400/= fedha hizi zilikopeshwa kwa chama cha ushirika Geita SACCOS LTD miaka nane iliyopita.

Sasa Mh. Asunga juzi tuliona umewasha moto huko Arusha kwa wabadhalifu wa aina hii sasa tafadhali tunaomba utoe tamko kwa Makada wenzetu asante.
 
Nitapambana Na Rushwa Bila Kigugumizi Chochote Na Dawa Ya Jipu Ni Kulitumbua
Na Mimi Nimejipa Kazi Ya Mtumbua Jipu
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Dah! Huku Ikwiriri ni maumivu tu majina mengi ya wakulima wa korosho hayakutumwa kwa ajili ya malipo .
Matokeo yake hata kumi hatujapata hadi sasa.
Viongozi wa chama cha ushirika na masoko Ikwiriri wanatuzungusha tu kwa majibu mepesi.
Tumepeleka shauri letu TAKUKURU makao makuu ya wilaya napo hola hakuna msaada wowote.
Tumekwenda kwa afisa ushirika wilaya napo ni tatizo tu hakuna ushirikiano wowote tuliopata.
 
Kikwete aliingizwa madarakani kwa hela za kifisadi za EPA.
Nani alikudanganya pesa za epa ni za kifisadi?

Kumbe hata epa hamuelewi ni nini. Mnasikitisha sana, kwa ujinga huu mnaouonesha, CCM kuondoka madarakani ni CCM wenyewe waamue kujipindua tu.
 
Mkapa amesema,au unabishana nae?
Nani alikudanganya pesa za epa ni za kifisadi?

Kumbe hata epa hamuelewi ni nini. Mnasikitisha sana, kwa ujinga huu mnaouonesha, CCM kuondoka madarakani ni CCM wenyewe waamue kujipindua tu.
 
Yaani huko Geita ni shida kweli kweli na viongizi wakuu wanapaogopa sanaaa.
Hawawezi tumbua hata mbu
 
Nani alikudanganya pesa za epa ni za kifisadi?

Kumbe hata epa hamuelewi ni nini. Mnasikitisha sana, kwa ujinga huu mnaouonesha, CCM kuondoka madarakani ni CCM wenyewe waamue kujipindua tu.
Zitto
tapatalk_1573626196426.jpeg
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom