Mh. Anna Abdalah amwombea Mh. Mnyika mafanikio Bungeni

kamsifia kwasababu alikua nae hapo.

KakaJambazi umenena hivi kweli kwa akili zako za kijambazi huoni kama ni ujambazi kumsifia mtu eti kwa kuwa upo nae kwenye kipindi? kama kweli wewe sio jambazi wa sifa mbona hukuwasifia kina g lema na mr sugu? au angewataja basi walau wawili yaani mnyika na mwingine ambae hakuwepo pale hapo nisingeona ujambazi wa sifa.

Nawakilisha Kaka Jambazi
 
Labda tulioko nje ya TZ mtujuze kitu gani muhimu amekifanya au amekizungumza bungeni kiasi cha kuweza kumfananisha na kumlinganisha na magwiji?

Tunaomba mtujuze.

Amefanikiwa kuzungumza kwenye TV na mama Anna Abdallah Mkumbo na kina Zitto hawajawahi hehehehe its just a joke Doc watu hawaoni wamepofuka huwezi kumfaninisha dogo na kina Dr Mkumbo na Zitto japo ana mchango lakini hauwezi kuwafikia hawa magwiji. Watu wa kwenu Doha wanasema Dik El May , Hiyyeh May literal meaning pound the water and it remains water
 
Magamba wanawakubali sana chadema na movie zao japo huwa wanajitahidi kuuficha ukweli then mwisho wa siku wanajikuta wameshindwa kuvumiliana kuwasifia directly. Hata bi mkubwa leo uzalendo ulimshinda akaamua kuanika kilichopo ndani ya moyo wake. Kijana anastahili sifa tunamwombea azidi kutoa funzo kwa vijana na wazee km bi mkubwa
 
pole pole wataikubali chadema na sera zao!, huyu mama kaanza kuikubali chadema sema tu hawezi kujivua gamba kujiunga na cdm hana damu ya kutosha kuhimili mikiki ya cdm abaki tu na gamba lake!





HAPA NAOGOPA KUSEMA WAg@#...?>>.;-=+=nGA NDIYO WALIWAO, MAANA WATU WENGINE HAWAFAHAMU TRIKI ZA KISIASA, HASA KWA KUANGALIA WATU WAZIMA NA WAZOEFU WA POLITIKI KAMA MAMA ANNAH ABDALLAH..!!HAYO MNAYOMUWAZIA WALA HAYUKO HUKO KABISA. NA SASA MNYIKA KUSIFIWA NA MAMA ABDALLAH ATAJUA KUWA YEYE (MNYIKA) NI mtoto mzuri. NA KUANZIA HAPO NDIPO KASI YAKE YA.....!! MBELE YA WANACCM ITAKUWA IMEKWISHA KU......!!


 
Ili kutatua tatizo kwanza inakupasa kulitambua tatizo. Speaker 'ameanza' kujitambua nasema ameanza kwakuwa kuna mengine bado ni fumbo kwake au kwa makusudi hataki kuyaona, kama ataendelea kwa mwendo huu kujitambua na kufikia 'viwango' basi siku si nyingi bunge litakuwa la viwango
 
Back
Top Bottom