Mh. Anna Abdalah amwombea Mh. Mnyika mafanikio Bungeni

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
Mama mkongwe kwenye kile chama cha magambaza ameshindwa kujizuia tbc muda sio mrefu na kuanza kummiminia jj mnyika sifa kibao na kumuambia wazi kuwa anamuombea mungu jj arudi bungeni 2015 na zaidi ya hapo kwani jj ni mfano wa kuigwa kwa vijana wote nchini
 
Asubuhi ya leo katika kipindi cha JAMBO TBC walikuwepo mh. anna abdalah na Mh. Mnyika wakijadili taratibu za kunge kuhusu miongozo ya spika. Mh. anna abdalah alimsifia sana mnyika kuwa ni mbunge makini, msikivu na anayetoa hoja za nguv na sio nguvu ya hoja. akasema anamwombea aendelee kuwepo ndani ya bunge kwa muda mrefu kwani atakua mfano mzuri wa kuigwa na vijana wengine.
 
pole pole wataikubali chadema na sera zao!, huyu mama kaanza kuikubali chadema sema tu hawezi kujivua gamba kujiunga na cdm hana damu ya kutosha kuhimili mikiki ya cdm abaki tu na gamba lake!~
 
hao ndo miaka yote wameufikisha hapa tulipo, Mnyika mbunge wangu niliyekupigia kura washa moto bungeni, magamba yang'oke hayooo
 
Asubuhi ya leo katika kipindi cha JAMBO TBC walikuwepo mh. anna abdalah na Mh. Mnyika wakijadili taratibu za kunge kuhusu miongozo ya spika. Mh. anna abdalah alimsifia sana mnyika kuwa ni mbunge makini, msikivu na anayetoa hoja za nguv na sio nguvu ya hoja. akasema anamwombea aendelee kuwepo ndani ya bunge kwa muda mrefu kwani atakua mfano mzuri wa kuigwa na vijana wengine.

Hii si ni kama facebook tu? We ulitegemea watu wamekaa meza moja wanaangaliana aanze kumwambia we ni kilaza? By the way jamaa ni mkali nyanja hizi za siasa kwa vijana kujifunza.
 
Malaria Sugu mwenyewe siku hizi anabadilika (post zake za hivi karibuni zinaonyesha), hivyo ukombozi wa kweli wa taifa hili na watu wake unakaribia.
 
mfano kwa vijana?
mnyika ni mfano kwa wazee wote wa ccm waliokalia chama
karibia wafie pale na hawana uchungu na nchi,wanachojua ni kujilinda wao na mafisadi
 
hope BINTI KIROBOT atakuwa ameyapata asbh hii..maana wanamkimbiza mbaya..na mbaya zaidi vijana wanasoma kwanza sheria kablaya kuongea
inaniuuuuma sanaaaaaaaaa
 
Very good mamaa! lakini ningetamani umsifie Mnyika ukiwa peke yako na si mkiwa wote
 
The boy deserves it!! He is a brilliant young man and i believe he will reach the moon!
 
Hii si ni kama facebook tu? We ulitegemea watu wamekaa meza moja wanaangaliana aanze kumwambia we ni kilaza? By the way jamaa ni mkali nyanja hizi za siasa kwa vijana kujifunza.

Hapana mkuu. Hapa kuna ukweli. Si lazima kusifia kitu cha hovyo eti kwa sababu ya kuogopa uso wa mtu. Angeamua kunyamza. Na ukiona mpinzani wako anadiriki kusema maneno kama hayo kwenye public ujue umemfikisha mahali ambapo usalama wake ni tete!

CHADEMA ilipowafikisha CCM hata CHADEMA hawawezi kuelewa. The guys (CCM) wamebambwa msalabani kikweli kweli!

Aluta continua!!!
 
nimejaribu kumfatililia mnyika tangu aingia bungeni na kuona kuwa watu wa ubungo wamepata mwakilishi sahihi bungeni . mnyika anajipanga sn anapowasilisha au kuzungumzia jambo lolote.
 
Malaria Sugu mwenyewe siku hizi anabadilika (post zake za hivi karibuni zinaonyesha), hivyo ukombozi wa kweli wa taifa hili na watu wake unakaribia.

yaani juzi kanichekesha kaandika ''NAPE hebu ngoja kwanza tupigane na mafisadi wetu hawa kwanza" ....... nilicheka sana kwa kweli
 
nimejaribu kumfatililia mnyika tangu aingia bungeni na kuona kuwa watu wa ubungo wamepata mwakilishi sahihi bungeni . mnyika anajipanga sn anapowasilisha au kuzungumzia jambo lolote.

sio kujipanga tu ..yaani huyu jamaa anajua na anasoma sana vitu..ndo maana mwaka jana tulikesha LOYOLA wasije kuchakachua matokeo maana naye alishaanza kulainika sijui walishampa mawe..yaani tulimwambia tunamnyonya macho asituchezee hapa.....
 
Hawa ndo wazalendo wa taifa wanaostahili kupewa nafasi ili kuleta mbinu za mabadiliko na usawa kimaisha kulingana na rasilimari za nchi yetu!Mnyika ni miongoni mwao
 
Mnyika ni jembe kubwa na ndiyo maana kila mtu alimshangaa mtu aliyetaka kumfananisha Mnyika na Nape. Huyu kijana ni sawa na wazee fulani fulani ndani ya bunge 50 au zaidi anajua anachokifanya na hujenga hoja inayoeleweka kwa kila mzalendo wa nchi hii. Mungu amsaidie kijana aendelee kutusaidia vijana wenzie maana ndiye anayedhibitishia umma kuwa vijana ni taifa la leo na kesho.
 
Back
Top Bottom