MH. akikagua gwaride...kama naniiiii

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
533871_480224778667234_1203300637_n.jpg
 
Hii ni kabla ya RICMOND nini maana jamaa alikuwa juu sana alimfukuza mhandisi wa wilaya ya Temeke kwenye TV hahaha kila zama na kitabu chake for sure
 
ha ha waziri fisad huyo anajulikana kwa wezi wake halafu mubayaa.
 
Hapa km natokea ile pande ya oldoinyo lengai kisa namalisa kamua masiwa ya mbusi:target:
 
... Lowassa 'MwanaMarundi' na mvua za kupepea toka Thailand; daaah, tumetoka mbali..!
 
Akiota wakati huo anapagawa na kumwaga chumo la wizi kama hana akili nzuri. Mungu aliwapiga laana yeye na mwenzake Chinawatra wakapigwa kibuti. Shame on them all!
 
Huyu chalii ana damu safi sana, pamoja na ufisadi wote bado raia kibao wanampa shavu...
 
Back
Top Bottom