hilo tatizo lilinitesa sana ila kuna chakula dawa nilitumia likaisha ngoha nipekue ktk kumbukumbu takujulisha mkuuWakuu naamin mko salama,naomba msaada tatizo langu ni mguu wa kushoto yaan ni kama unawaka moto kwenye kisigino na kanyagio,Nina miez mitatu ila sasa nahisi kuongezeka maumivu.msaada tafazal
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Asante kwa ushauri mkuu,nitafanyia kazi ila nadhan kama ni dalili ya bp fulanNenda hospitali kufanyiwa CT scan au hata MRI.
Pole, sidharau kujisikia hivyo kwa muda mrefu.
Na chekiwa kila kitu
Mkuu bado hujapekua pekua kumbukumbu,maana naona had heshima ya ndoa pia yapungua,, VP nawew ulikua ivohilo tatizo lilinitesa sana ila kuna chakula dawa nilitumia likaisha ngoha nipekue ktk kumbukumbu takujulisha mkuu
mkuu naomba nikupe first aid . TAFUTA MAJANI YA MLONGE YAWE LAINI PIKA KA MA MBOGA KULA WAKATI NAENDELEA KUPEKUAMkuu bado hujapekua pekua kumbukumbu,maana naona had heshima ya ndoa pia yapungua,, VP nawew ulikua ivo
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Fear of moving forwardWakuu naamin mko salama,naomba msaada tatizo langu ni mguu wa kushoto yaan ni kama unawaka moto kwenye kisigino na kanyagio,Nina miez mitatu ila sasa nahisi kuongezeka maumivu.msaada tafazal
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Pole mkuu,Wakuu naamin mko salama,naomba msaada tatizo langu ni mguu wa kushoto yaan ni kama unawaka moto kwenye kisigino na kanyagio,Nina miez mitatu ila sasa nahisi kuongezeka maumivu.msaada tafazal
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Weka hapa jukwaani mkuu!Pole mkuu,
Mara nyingi dalili ya kusikia sehemu ya mwili kuwaka moto au kuwa na nganzi ni kwamba utembeaji wa damu kwenda kwenye eneo hilo ni hafifu au dhaifu hivyo tissues za eneo hilo zinakosa oxygen na nutrients za kutosha,au neva za fahamu zinazo control eneo hilo hazina nutrients za kutosha.
Hii inawezekana kutokea endapo sehemu flani ya mishipa ya damu kuna mafuta yaliyoganda(cholesterol) na kusababisha kuwa narrow au kuna embolus ya aina yoyote imetokea by chance. Katika mwili kujitahidi kupambana na hali hiyo ndio unakuta zinakuja reactions mbalimbali ikiwemo maumivu,ganzi ,n.k.
Kuna tiba moja ya food therapy ambayo inapambana na matatizo yatokanayo na mzunguko wa damu ikiwemo kupunguza kiwango cha cholesterol,BP,magonjwa ya moyo,n.k.
Kama utahiitaji unaweza kunipigia 0718235364
Dsm.
Mkuu tupo wengi tunasubiri msaada wako. Tafadhari tusaidie.hilo tatizo lilinitesa sana ila kuna chakula dawa nilitumia likaisha ngoha nipekue ktk kumbukumbu takujulisha mkuu
Weka hapa jukwaani mkuu!
Simu za nini tena!
View attachment 539434
Mi ni msambazaji naweza kukuletea
mkuu kama ushalijua tatizo ni viatu huna haja ya kutumia vidonge. mtafute mtaalamu wa orthopedic technology atakuelekeza aina ya viatu vya kukufaa au atakutengenezea insole orthosis kulingana na atakavyokutathimini. Yupo ninaemfahamu kama utaitaji nitakuonganisha nae uende clinic kwake.Tupo wengi, mm chanzo viatu
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Uko vizuri sana kaka napenda sana mtu anae explain vitu kitaaalam namna hiyoPole mkuu,
Mara nyingi dalili ya kusikia sehemu ya mwili kuwaka moto au kuwa na nganzi ni kwamba utembeaji wa damu kwenda kwenye eneo hilo ni hafifu au dhaifu hivyo tissues za eneo hilo zinakosa oxygen na nutrients za kutosha,au neva za fahamu zinazo control eneo hilo hazina nutrients za kutosha.
Hii inawezekana kutokea endapo sehemu flani ya mishipa ya damu kuna mafuta yaliyoganda(cholesterol) na kusababisha kuwa narrow au kuna embolus ya aina yoyote imetokea by chance. Katika mwili kujitahidi kupambana na hali hiyo ndio unakuta zinakuja reactions mbalimbali ikiwemo maumivu,ganzi ,n.k.
Kuna tiba moja ya food therapy ambayo inapambana na matatizo yatokanayo na mzunguko wa damu ikiwemo kupunguza kiwango cha cholesterol,BP,magonjwa ya moyo,n.k.
Kama utahiitaji unaweza kunipigia 0718235364
Dsm.
Mkuu hii ni Pharmaceutical product so malipo kwanza siku zote.Unalipa baada ya kupona au terms zikoje.