Mguu unalipa? -esami arusha

ngurdoto

Member
Aug 19, 2010
58
23
Wadau huo mguu vipi unalipa?????
 
Attachments

  • MGUU HUO JAMANI.jpg
    MGUU HUO JAMANI.jpg
    51.6 KB · Views: 852
yuko kiofisi zaidi anatafuta senti za kukolezea sherehe yake/mtu wa kumlisha keki
 
kaamua kutangaza wazi mwenye uwezo jinome tuu hapo ukaushike shike huo mguu
 
Kweli mwanaume ni mwanaume tu.. Mie hapo naona kama anajisemesha rohoni "hivi viatu virefu balaa, kisa tu kupendeza. Afadhali sasa tumekaa, nivivue ninyoshe na mguu hasa huu wa kulia ndio huchoka haraka" Lol

Mzima R'?
 
Leo nimekamatwa AshaDii mi niko salama kabisa nimekumiss tuu wewe balaa
Na siku hizi unatokea kwa manati mpaka nakumiss aise
 
Last edited by a moderator:

hahaha! Naweza nikawa natokea kwa manati but nipo kabisa. Mie najua umenimiss hatujagongana mda mrefu... Nenda pale MMU kampoze binti anaitwa Ana, wanaume mnam boa mtoto wa watu na kuchanganya na wanawake wengine kama 6. Nina wasi wasi anataka ahame kabisa sex itakayokuwa inamvutia... hahaha. Bora wanawake atii...:becky:
 
Mhh nimeona AshaDii
huyo ana mambo yake bana na sio kwamba eti ametendwa na wanaume
Mbona kuna watu wanawapata na wanaendelea vyema kabisa
inategemea na alikoangukia na type ya wanaume anaowapata
 
Last edited by a moderator:
Kweli mwanaume ni mwanaume tu.. Mie hapo naona kama anajisemesha rohoni "hivi viatu virefu balaa, kisa tu kupendeza. Afadhali sasa tumekaa, nivivue ninyoshe na mguu hasa huu wa kulia ndio huchoka haraka" Lol

Mzima R'?
Leo mchana mida ya lunch nilikuwa nazungumza na jamaa kwenye mgahawa mmoja hivi, jamaa akadai (nisiulizwe mazungumzo yalianzaje) kuna utafiti uliwahi kufanyika ambao ulionesha kuwa zaidi ya 90% ya wanaume huwa wanawaza sex 500 times a day.
 
Mhh nimeona AshaDii
huyo ana mambo yake bana na sio kwamba eti ametendwa na wanaume
Mbona kuna watu wanawapata na wanaendelea vyema kabisa
inategemea na alikoangukia na type ya wanaume anaowapata

hahaha! Nae hivo hivo alimpata ila sasa kamtenda... Lol. Usikubali wife akae karibu nae... Unaweza ibiwa aisee...
 
Leo mchana mida ya lunch nilikuwa nazungumza na jamaa kwenye mgahawa mmoja hivi, jamaa akadai (nisiulizwe mazungumzo yalianzaje) kuna utafiti uliwahi kufanyika ambao ulionesha kuwa zaidi ya 90% ya wanaume huwa wanawaza sex 500 times a day.

Wala hata sibishi Mkeshaji... Huo utafiti ni sababu tosha ya mimi kutotaka hata maelezo discussion ilitokea wapi.. Ukute waitress wa hapo ndio aliamsha discussion yote hiyo. Hahahaa!
 
Back
Top Bottom