Mgunda, wanaokusifia leo ndiyo hao hao watakaokuzomea kesho

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Juma Mgunda, sasa hivi ni kocha wa klabu ya Simba. Tokea ajiunge na klabu hii pana watu wanajitahidi kumpamba kuwa ni kocha mzawa mzuri mno, wakitaka kututoa katika kumbukumbu kuwa katokea timu ya Coastal Union iliyopo Ligi Kuu kama timu ya Simba.

Mimi, naamini kuwa kufanya vizuri kwa timu ya Simba sasa hivi ni kwa juhudi za wachezaji, klabu iliyowasajiri na si usajiri alioufanya kocha Mgunda. Hivyo namtahadharisha kocha huyo kujiandaa kisaikolojia kuwa wanaomsifia sasa hivi kwa timu kufanya vizuri kimichezo ndiyo hao hao watakao mzomea kesho pindi timu ikianza kufanya vibaya.

Sasa hivi kelele za kumtaka kocha Matola wala hazisikiki na ndiyo muda mzuri kwake kuondoka hapo.
 
Juma Mgunda, sasa hivi ni kocha wa klabu ya Simba.
Tokea ajiunge na klabu hii pana watu wanajitahidi kumpamba kuwa ni kocha mzawa mzuri mno wakitaka kututoa katika kumbukumbu kuwa katikea timu ya Coastal Union iliyopo ligi kuu kama timu ya Simba.
Mie, naamini kuwa kufanya vizuri kwa timu ya Simba sasa hivi ni kwa juhudi za wachezaji klabu iliyowasajiri na si usajiri alioufanya kocha Mgunda.
Hivo namtahadharisha kocha huyo kujiandaa kisaikolojia kuwa wanaomsifia sasa hivi kwa timu kufanya vizuri kimichezo ndo hao hao watakao mzomea kesho pindi timu ikianza kufanya vibaya.
Sasa hivi kelele za kumtaka kocha Matola wala hazisikiki na ndo muda mzuri kwake kuondoka hapo.
huyu hamna kitu ngoja akakutane na mazembe mamelod as vita ndo atauona moto kwenda angola kukutana na lipuli na mbao na biashara united anajikuta kocha bora afrika
 
Utopolo mna visa sana.
M
Hamuiwazii timu yenu ili ikapindue jamvi kule Sudan, mnawaza kuchonganisha tu. Maneno ya kichawi chawi tuuuu!!!!

Kafundishe wewe huko Utopoloni ili usifiwe tuu hata kama utfeli.

Ila Haji hakukosea kuwa walio ngaaa kichwani ni awili tu.
 
Utopolo mnaakili za kijinga sana.

Kanuni ya kocha ni kuajiriwa na kufukuzwa, hakuna club yoyote ile ambayo ina malengo fulani itakaa na kocha for a lifetime. Kwasasa anafanya vuzuri wacha apokee sifa zake ili ajivunie kazi yake, irakapofikia hatua mbinu zake zimefika ukomo wa kuleta matokeo mazuri kutokana na sababu mbalimbali, basi sharti ni AFUKUZWE ili kutafuta changamoto sehemu nyingine.

Wameondoka akina Pitso Masandawana na Ahly itakuwa Mgunda? Kikubwa tu ambacho natamani kuona ni Mgunda apewe maslahi makubwa sawa na jinsi ambavyo waliwatukuza wazungu, Utz wake uaiwe kigezo cha kumyonya ila siku anaondoka Simba Sc basi awe na la kukumbuka na kushukuru.
 
Uzi uishie hapa labda kama kuna mengine...
 
Juma Mgunda, sasa hivi ni kocha wa klabu ya Simba. Tokea ajiunge na klabu hii pana watu wanajitahidi kumpamba kuwa ni kocha mzawa mzuri mno, wakitaka kututoa katika kumbukumbu kuwa katokea timu ya Coastal Union iliyopo Ligi Kuu kama timu ya Simba.

Mimi, naamini kuwa kufanya vizuri kwa timu ya Simba sasa hivi ni kwa juhudi za wachezaji, klabu iliyowasajiri na si usajiri alioufanya kocha Mgunda. Hivyo namtahadharisha kocha huyo kujiandaa kisaikolojia kuwa wanaomsifia sasa hivi kwa timu kufanya vizuri kimichezo ndiyo hao hao watakao mzomea kesho pindi timu ikianza kufanya vibaya.

Sasa hivi kelele za kumtaka kocha Matola wala hazisikiki na ndiyo muda mzuri kwake kuondoka hapo.

Hiyo siyo issue ipo kote duniani katika ulimwengu wa soka, ndiyo maana makocha wanafukuzwa kila kukicha! Kikubwa tunafurahia kazi yake! Hata angekuja Klopp au Guardiola lazima kuna siku wangechukiwa! Tupe issues siyo blah blah hapa za wivu!
 
huyu hamna kitu ngoja akakutane na mazembe mamelod as vita ndo atauona moto kwenda angola kukutana na lipuli na mbao na biashara united anajikuta kocha bora afrika

Mbona wewe timu yako ya Utopolo imepelekwa mchakamchaka na Ihefu fc, na inakwenda kuwamaliza kabisa kule Sudan!
 
Yaani unaongea kama pale Gongowazi hakuna waliomtangulia Nabi.

Nyie huwa mnapenda sana kujitukana wenyewe bila kujijua yaani.
Umeshawahi kuwaona mashabiki wa Yanga wakimzomea hadharani na kumrushia kocha makopo ya maji, kama mlivyo mfanyia Matola?
 
Utopolo mna visa sana.
M
Hamuiwazii timu yenu ili ikapindue jamvi kule Sudan, mnawaza kuchonganisha tu. Maneno ya kichawi chawi tuuuu!!!!

Kafundishe wewe huko Utopoloni ili usifiwe tuu hata kama utfeli.

Ila Haji hakukosea kuwa walio ngaaa kichwani ni awili tu.

Wamepelekeshwa na Ihefu fc ya Sudan na aanaenda kuchinjiwa mbali weekend hii kule Sudan!
 
huyu hamna kitu ngoja akakutane na mazembe mamelod as vita ndo atauona moto kwenda angola kukutana na lipuli na mbao na biashara united anajikuta kocha bora afrika

Wewe Utopolo wako mbona kaendeshwa mchakamchaka na Ihefu fc ya Sudan! Na weekend anaenda kugeuzwa kisusio kule Sudan!
 
huyu hamna kitu ngoja akakutane na mazembe mamelod as vita ndo atauona moto kwenda angola kukutana na lipuli na mbao na biashara united anajikuta kocha bora afrika
Utopolo mmegeuka wanga sasa
 
Back
Top Bottom