Jamani jamani nahitaji msaada wenu kuna mgonjwa wa pumu ana hali mbaya sana yeyote anayejua tiba yake tafadhali. NAOMBENI MSAADA.
Hiyo ya mafua ndugucetrizine huwa inasaidia.
Jamani jamani nahitaji msaada wenu kuna mgonjwa wa pumu ana hali mbaya sana yeyote anayejua tiba yake tafadhali.
Naombeni msaada.
ND maduka ganiKuna mtu amewahi toa ushuhufa kuwa dawa inapatikana ktk maduka ya kisuna
Mpeleke hospitali kwanza akishapata nafuu.Kampime allergy Kisha leta mrejesho hapaND maduka gani
Mimi natumia Salbutamol na ikikataa naongezea Amornophylline na koflyn cough syrup, zote hizi zinapatikana pharmacy.Jamani jamani nahitaji msaada wenu kuna mgonjwa wa pumu ana hali mbaya sana yeyote anayejua tiba yake tafadhali.
Naombeni msaada.
Mpeleke hospitali ya jiraniJamani jamani nahitaji msaada wenu kuna mgonjwa wa pumu ana hali mbaya sana yeyote anayejua tiba yake tafadhali.
Naombeni msaada.
Inategemea na aina ya mgonjwa !Hakuna dawa mnunulie salbutamol inhaler apulize ama hydrocortisone vidonge ila zikibana sana zote hazina majibu kama zimekuja na kifua cha kukohoa mpeleke hospital yenye matibabu mazur atannua mask ile ya oxygen n sindano atachomwa faster then atawekwa salbutamol na hydrocortisone kwenye mashine ya nubilizer kwa muda don’t forget kunnua mask yenu ya kuvutia dawa cku hizi kila mtu anatumia yake naamini akipata hivo atapumzka kupumua kwa muda usiopungua masaa 10 hapo hawez kutulia kwa dawa yyte zaid ya sindano na mvuke dawa ya kuponesha kabisa haipo
Hakuna dawa ya pumu, ila kuna grace period kwa sie tuliozaliwa nayo, kwenye ujana huwa haisumbui inarudi tena uzeeni.Kuna mtu amewahi toa ushuhufa kuwa dawa inapatikana ktk maduka ya kisuna