chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,388
- 24,947
Chacha Makenge, maarufu kama ‘mgonjwa wa Magufuli’, aliyekuwa amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), bado anaendelea kung’ang’ania kuishi wodini licha ya madaktari kumtaka aondoke baada ya matibabu yake.
Makenge, yupo wodi ya Sewahaji namba 18, lakini madaktari wamesitisha kumpatia huduma ya matibabu baada ya kujiridhisha kuwa amepona matatizo yaliyokuwa yakimsumbua na hahitaji tiba tena.
Unadhani Bwana Chacha anafurahishwa na nini hospitalini hapo?
Chanzo:EATV

Last edited by a moderator: