Mgonjwa wa kwanza wa Corona Isabella Mwampamba aibukia kwenye Siasa

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,605
2,730
Wakuu natumaini hamjambo.

Itakumbukwa Isabella Mwaipamba ndiye mgonjwa wa kwanza kwa mujibu wa taarifa za Wizara ya Afya Tanzania.

Nakumbuka baada ya yeye kujitokeza wengi humu mulionesha hisia tofauti na kujaribu kutuaminisha mlivyofikiri.
Leo anaibuka katika jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM lakini wajumbe wanampa kura tatu.

Swali langu tangia awali, je huyu mtu sio mtu wa mfumo? Je, Corona alikutwa nayo au tulipigwa na kina Ummy na Magu akabadili gia angani?

IMG_20200730_063501_947.JPG
 
Sisi kazi yetu ni kumkabidhi kwa wajumbe tu,maana hao wajuba siyo wa mchezo mchezo wanakunyonyoa manyoya ukiwa unajiona laivu..
 
Wakuu natumaini hamjambo.

Itakumbukwa Isabella Mwaipamba ndiye mgonjwa wa kwanza kwa mujibu wa taarifa za Wizara ya Afya Tanzania.

Nakumbuka baada ya yeye kujitokeza wengi humu mulionesha hisia tofauti na kujaribu kutuaminisha mlivyofikiri.
Leo anaibuka katika jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM lakini wajumbe wanampa kura tatu.

Swali langu tangia awali, je huyu mtu sio mtu wa mfumo? Je, Corona alikutwa nayo au tulipigwa na kina Ummy na Magu akabadili gia angani?

Mgonjwa wa pili mwana FA wa Tanga mjini!
 
Back
Top Bottom