Mgonjwa wa ajali; adondoka getini baada ya kutoroka ndani ya hospitali akihofia kukosa tiba dsm

Makonda alisema ataweka dawati la polisi kwny hosp. Kubwa hapo Dar ili mtu apatiwe PF3 hapo hapo hosp.,sijui iliishia wapi hii.
 
Nipo Kati ya raia na muhudumu WA afya. Wagonjwa huwa hawapeleki pf3 inapotokea amekufa kesi inabaki kwa DOKTA aliyemtibu ila Siku hizi matibabu unapata Huku pf3... Inafatiliwa hutopata ruhusa hadi pf3 iletwe. Kama usipopata huduma kwakuwa huna pf3... Kuna dawati LA malalamiko kila hospital nenda kalalamike ukitoa sababu za msingi Kuwa kwanini unapaswa kutibiwa bila pf3...
Hapo kwenye bold kumbe wakati mwingine mnakataa kuwatibu majeruhi hadi waende kwenye dawati la malalamiko ambako sijui kama kuna mhudumu kwenye dawati hilo kwa 24/7 hours? Majeruhi akimkosa mhudumu wa dawati la malalamiko ndo anaamua kuondoka sijui kama huyo aliyedondoka nae aliamua kuondoka baada ya kuambiwa aende kwenye dawati la malalamiko. Asante kwa kukubali kuwa kuna wakati mnakataa kuwahudumia wasio na PF3 hadi waende kulalamika huko.
 
Uende kwenye dawati la malalamiko huku ukiwa umezimia au umevunjika miguu?
 
Hapo kwenye bold kumbe wakati mwingine mnakataa kuwatibu majeruhi hadi waende kwenye dawati la malalamiko ambako sijui kama kuna mhudumu kwenye dawati hilo kwa 24/7 hours? Majeruhi akimkosa mhudumu wa dawati la malalamiko ndo anaamua kuondoka sijui kama huyo aliyedondoka nae aliamua kuondoka baada ya kuambiwa aende kwenye dawati la malalamiko. Asante kwa kukubali kuwa kuna wakati mnakataa kuwahudumia wasio na PF3 hadi waende kulalamika huko.
Sijakili kukataa kuwa siku hizi majeruhu wanakataliwa....ila nimeeleza kuwa majeruhi atapata huduma huku ndugu zake wakifatilia pf3...ila ikitokea amekosa huduma sehemu sahihi ya yeye kwenda ni dawati malalamiko.
 
Pf3 ni muhimu...ni kinga kwa dokta dhidi ya lolote linaloweza kumtokea mgonjwa...wa ajari. Hapo mwanzo waharifu walikuwa wengi sana hivyo wengi wa majeruhi enzi hizo walikuwa waharifu walioshambuliwa na Polisi...kwakuwa hospitali ni sehemu ya kiusalama...huwezi kupata huduma bila wao kujilizisha kuwa hukuwa unakimbia mkono wa dola. Ila siku hizi huduma unapata kama kawaida harafu pf3 unapeleka ukiwa unaendelea kupata huduma.
Hivyo unataka kusema huyo jamaa ni muhalifu ndio sababu hajapatiwa huduma? Au sijakuelewa?
 
Usiamini habari za kwenye mitandao hazina uharisia...umeenda hospital yoyote ya serikali hivi karibuni...?
Kwa nini unasema hivi karibuni? Kabla ya hivi karibuni hali ilikuwaje? Kwamba wanajirekebisahaau? Juwa pamoja na Magu kuwa mkali kwenye hii vita kuna watu hawataki kuelewa maana uzembe na kitu kidogo kipo damuni hadi washikwe na PCCB labda.
 
mimi na wewe Atuwezi kujua...maana siwezi kuamini kitu ambacho sijaona/sijakuwepo...ila angekuwa ndani ya hospital angepata huduma.
 
Sio kweli...mambo yamebadilika sana siku hizi...huduma za afya zimeboreshwa sana...ebu tembelea hospitali yoyote iliyo karibu nawe kisha uje utoe mrejesho.

Sawa tuanze na hiyo kwenye picha alipolala msababisha mada hii.
 
Hakuna kitu hicho siku hizi huduma kwanza pf3 inafuata...ata ukiwa huna pesa huduma unapata kisha unalipa baadae
usiwe mbishi hata vitu vya wazi tazama picha, TENA UKIIZOOM HIYO UTAONA WAHUDUMU WALIVYO HAMAKI MGONJWA ALIVYODONDOKA
Screenshot_20181211-111543.png
Screenshot_20181211-111341.png
Screenshot_20181211-111313.png
 
Usiamini habari za kwenye mitandao hazina uharisia...umeenda hospital yoyote ya serikali hivi karibuni...?
Hapa huwa siendagi huko. Labda ikija kutokea kwamba naumwa na ni lazima kuanzia hospitali za Serikali ndio nitakwenda.
 
Kwa nini unasema hivi karibuni? Kabla ya hivi karibuni hali ilikuwaje? Kwamba wanajirekebisahaau? Juwa pamoja na Magu kuwa mkali kwenye hii vita kuna watu hawataki kuelewa maana uzembe na kitu kidogo kipo damuni hadi washikwe na PCCB labda.
Tunazungumzia mambo yaliyopo sio yaliyopita...ndio maana mada ni yaleo na sio miaka iliyopita...ndio maana nikakushauri utembee tu ata kuona wagonjwa na unaruhusiwa kuwahoji kuhusu huduma wanazopata...kwa kuanzia anza na hospitali iliyo karibu na wewe...muda wa kuona wagonjwa ni saa 6 mchana na saa 10 jioni ama asubuhi saa 12.
 
Sijakili kukataa kuwa siku hizi majeruhu wanakataliwa....ila nimeeleza kuwa majeruhi atapata huduma huku ndugu zake wakifatilia pf3...ila ikitokea amekosa huduma sehemu sahihi ya yeye kwenda ni dawati malalamiko.
Ubishi tu wa bure. Huenda huo utaratibu upo kwenye kitengo chako cha kazi na sio Tanzania nzima. Usipende kubisha bisha vitu.
 
Hapa huwa siendagi huko. Labda ikija kutokea kwamba naumwa na ni lazima kuanzia hospitali za Serikali ndio nitakwenda.
mambo yamebadilika sana siku hizi...yani ukionekana umezidiwa lazima utapata huduma tena haraka iwezekanavyo...ndio maana kwa mtoa mada si mkweli..huyo majeruhi angekuwa ndani ya hospitali lazima angepata huduma...
 
Ubishi tu wa bure. Huenda huo utaratibu upo kwenye kitengo chako cha kazi na sio Tanzania nzima. Usipende kubisha bisha vitu.
Namshangaa anavyobisha wakati ndio zao hizo huwa wanaangalia wagonjwa na wagonjwa wa kuwapa huduma kwa wakati tena wale ambao wanajua watapata chochote kitu ndio wanawapaga kipaumbele.
 
Back
Top Bottom