Mgonjwa anaewatafuta ndugu zake

Mshirazi

JF-Expert Member
Dec 8, 2009
444
170
Nimepita barazani kwa kaka michuzi nimekuta kuna habari kwamba kuna mgonjwa anawatafuta ndugu zake,, kwa bahati mbaya hapa kwangu nimeshindwa kuangalia picha za mgonjwa mwenyewe kama ambavyo walijaribu kuziweka pale chini, hivyo basi naomba yule ambae ameweza kuziona aziweke hapa jamvini labda kupitia hapa tunaweza kuziona na inaweza ikatoka kuna ndugu zake humu ndani.

Naomba radhi sana kwamba hapa ni sehemu ya picha ila mimi nimekuja na hili ombi kupitia hapa ili kama kuna mwenye hiyo picha aielete hapa moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom