Mgonjwa akataa kutoka muhimbili moi;nitoke hosp niende wapi guest??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgonjwa akataa kutoka muhimbili moi;nitoke hosp niende wapi guest???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 22, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Kwa walioona itv tarifa ya habari inasikitisha sana kuna familia imekaataa kumtoa mgonjwa wao pale moi baada ya kuambiwa na uongozi husika wa MOI MUHIMBILI waondoe mgonjwa wao
  swala hili liemetokea baada ya mgonjwa wao kuambiwa vipimo na dawa vinaweza chukua mil 2 akini we katafute mil 1.8 ,wakiongea kwa huzuni wamesema wao wameweza kupaata mili 1.2 tu lakini tulipowafwata wakatuambia tumchukue mgonjwa wetu ati kama atutaki watatuletea polisi hapo ndipo walipochemka tukaamua kuja itv kueleza hali alisi...mgonjwa alipoulizwa na mwandishi wetu alisema yeye amesema awezi kutoka na kusema waniue tu nitoke niende GUEST???

  INAUZUNISHA SANA RAIS KIKWETE KWENDA NA KUNDI LA WATU USA KILA MARA HUKU WAKITUMIA MILLION SI CHINI YA MIATATU 300MIL....WAKATI HUO HUO KUTENGA BILIION 50 KWA AJLI YA KURUDI MADARAKANI HUKU WATU WAKIFA KWA KUKOSA MIL 1.8,,,HUU NII UHUNI MKUBWA LAAAANA KUBWA RAIS WETU...THAMININI MAISHA YA WATU...JAMANI LEO PALE MUHIMBILI AMELETWA MTU MMOJA NA DEFENDER PT 7850 AKARUSHWA TOKA GARINI KAMA KUKU WAKAONDOKA ALIPOULIZWA AKASHINDWA KUJIELEZA BAADA YA KUPEWA DRIP AKADAI AMEOKOTWA AJALA SIKU YA TATU YEYE NI OMBA OMBA NA TANGU MVUA INYESHE AJAPATA KABISA HATA YA CHAKULA....

  HIVI RAISI WETU UNAJUA HAYA MAMBO AMA UKIALIKWA MUHIMBILI MPAKA UKAFUNGUE JENGO????
   
 2. MPANDA Jr

  MPANDA Jr JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2014
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,299
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Long ago, lakini.... itukumbushe na haya jaman mwe! CCM inakera
   
 3. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2014
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Mungu tusaidia viongozi wetu waone haya
  Amen
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2014
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Wakome kuipa kura ccm
   
 5. kajirita

  kajirita JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2014
  Joined: Jul 27, 2013
  Messages: 1,580
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Endeleeni kuichagua,si ndio nyie mnaosema CCM itatawala milele?

  Acha muvi iendelee,tutaheshimiana tu.
   
 6. Ushirombo

  Ushirombo JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2014
  Joined: Jan 22, 2013
  Messages: 2,267
  Likes Received: 901
  Trophy Points: 280
  mi hili li ccm naliona kama nnyaa
   
 7. Q.s.salum

  Q.s.salum Member

  #7
  Apr 11, 2014
  Joined: Apr 3, 2014
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata hao wanaolalamika kukosa m 2 pia ukiwachunguza ni ccm vibaya mno
   
 8. tata mvoni

  tata mvoni JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2014
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Wachangiaji wote nawapa big LIKE
   
 9. A

  Albosignathus JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2014
  Joined: Apr 26, 2013
  Messages: 4,822
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 135
  Kasi mpya ya kufa haraka zaidi kwa kila mlalahoi wa tz.
   
Loading...