Mgongano wa mawazo kati ya Magufuli na Choya

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Mgongano wa mawazo kati ya Magufuri vs Mh Choya.

VITA YA UMEME WA OWEN FALL UGANDA KUWAKA BIHARAMULO..
Myths Kuhusu, Umeme wa Uganda; Mkoa kagera wanatumia umeme kutoka uganda asilimia kubwa ''kutoka maporormoko ya Owen'' Umeme huu kihistoria uliletwa na serikali uganda kwa aliyekuwa Boss wa umeme uganda , ni mzaliwa wa Kamachumu Muleba Kijiji cha Izigo na umeme ulipelekwa moja kwa moja nyumbani kwake Izigo kama zawadi ya kustaafu; Katika mazishi yake kamachumu ;shirika la umeme uganda ndo waliuendesha msiba wiki nzima watu wa kamachumu walikula kunywa na mziki .

Magufuri na Cheyo walikubaliana waombe umeme huu uwashwe wilaya ya Biharamulo.

Ombi lao lilikubaliwa.
Serikali ya Uganda iligoma kuupitisha Poli la Burigi kutokana na Gharama kubwa ya kuweka sub station na uharibifu wa msitu na ajali za wanyama km Tembo kungoa miundo mbinu; na shot kwa Nyani , tumbili n.k.
Magufuri ilibidi afungue Barabara ya Kyamolwa ili uzungukie Chato ikizingatiwa Barabara hiyo inavijiji vingi , Ndo mwazo wa Lami kujengwa ili kuconvice serikali ya Uganda ;
Ukweli wa lami hii ni fungu linalihusu barabara zinazozunguka ziwa victoria lazima zijengwe kwa lami.
Mbunge Choya yeye aligoma umeme usipite chato kama umeshindikana kupita Poli la Burigi , akisema umeme hauwezi kuwaka kijiji kwanza kabla ya wilayani. Alisema waombe Generator za Diesel ; Morogoro ziamishiwe Biharamulo . Ukawa mwanzo wa kuchukiwa Mbunge choya jimbo la Biharamulo Mashariki na Magahribi. Ukweli umeme Biharamulo uliwaka miezi 3 Mwaka 90's wa Jeshi ya Baada ya Brigde kuvunjwa mashine zikaondolewa ikabaki miundo mbinu.

ulikuwa ni mvutano mkubwa kwa choya kukubali wilaya Bihamulo ibaki gizani.



MRADI WA MAJI NYAMILEMBE , WIZI WA MOTOR ALIYOTEMBELEA W/ MKUU-wilaya ya Biharamulo ilikuwa na maji mwaka mzima kutoka Nyamilembe na vyazo vyake . Motor iliibiwa na mbomba Yalihujumiwa na watendaji wa halmashauri ya Biharamulo; Magufuri aliwafukuza na kuwafunga jela vifungo vya miaka 9 na kuendelea . Choya hakutoa ushirikiano wa kutosha ikaonekana anayelishikia bango ni Magufuri peke yake.

MRADI WA MABASI ; ''BASI LA WANANCHI BIHARAMULO'' Biharamulo baada ya kuwa nyuma kimaendeleo kuzidiwa na wilaya za mkoa Kagera ; walianzisha mchango kwa ajili ya kununua Mabasi kuondoa tatizo la usafiri wilayani Biharamulo kila kaya ilichangishwa 10,000; Basi ilitakiwa kufanya safari za Bihamulo -Chato; Biharamulo-Buseresere-Geita. Basi la kwanza lilireport ilikuwa na kichwa cha lori na la pili civilian. Ilichaguliwa jopo la wafanyabiashara na watu kusimamia mradi wa Mabasi Biharamulo; Hii ilikuwa ni Mbadala wa kufa kwa shirika la RETCO NA BUDECO katika usafirishaji abiria. walicopy na kupaste mradi. Wajanja walipiga pesa basi zikafa matengenezo yakashindikana kukuta Acc ya mradi hakuna pesa; Shinikizo kubwa lilikuja waliokula mradi wkamatwe wafungwe;

Kutokana na wengi walifuja mradi wanatoka Biharamulo magharibi ; Mheshimiwa Choya aliogopa kuwachukulia hatua kwani wengi wao ndo walikuwa wadhamini wa kampeni zake; na ndio waliomuomba hatoke Boda ya kenya kama migration ofisa ili alete mbinu za kisasa kupambana na chato chini ya Magu. Kutokana na choya kuwakumbatia majina tunayahifadhi . Mgogoro mkubwa ukaibuka ; ilikuwa ni moja ya ahadi za kampeni zao kuwashughulikia walikula na kuua mradi wa mabasi.

UJENZI WA SHULE YA WILAYA KAGANGO; KUTODAILI WATOTO TOKA CHATO , MPAKA LEO. ISIPOKUWA HIGH SCHOOL

Biharamulo ilikuwa na shule mbili tu za sekondari; Katoke seminary na Biharamulo sekondari ( Shule ya wazazi wa CCM) Hakukuwa na shule ya sekondari miaka ya 80's ingawa wilaya kipindi hicho ilikuwa na shule za msingi 94. wilaya nzima alikuwa anachaguliwa mtoto mmoja (1) au wanatoka kapa miaka mingine. Mkurugenzi marehemu Mjaliwa akaja na proposal ijengwe shule ya wilaya . Ikajengwa Biharamulo jina Kagango ingawa kila kaya ilichangishwa 1000-10,000/= Mazingira ya shule kungoa miti na visiki zilifanya shule za msingi za jirani; Shule ilijengwa ikakamilika miaka ya 90's cha kushangaza hakuna mwaka kuna mtoto toka chato alichaguliwa kujiunga hapo; isipokuwa vijana wa biharamulo magahribi; Hiki kiliwaumiza Chato kuzidi kudidimia kitaaluma. Huu ukawa mvutano mwingine baina ya maeneo haya.

Magufuli aliamua kujenga shule yake upande wake kuondosha mgogogro huu. njia liyotumia kipindi cha ujenzi wa lami waligawa kwa makampuni 2-4 na sheria ya ujenzi inashinikiza kujenga Camp za kudumu kila kampuni ya ujenzi wa barabara . Magufuri hizi camp alizigeuza na kuwa shule za sekondari mpaka leo 100% .



2. MAANDAMANO YA KUMPINGA CHOYA BIHARAMULO KUKUA KWA UPINZANI BIHARAMULO MAGHARIBI:

Kutokana na chato kukua kwa kasi na watumishi wengi wa halmashauri ya Biharamulo kuhamia chato. Hili likuwa pigo kwa Choya ; Ingawa Magufuri alikuwa akiwageuka wananchi kipindi cha uchaguzi dakika za mwisho kuwaomba waendelee kumchagua Choya . wananchi wa Biharamulo kina mama , wazee , vijana na watoto waliandamana kushinikiza mkuu wa wilaya hawataki kuongozwa na Choya, maandamano yalikuwa ya Amani ingawa mpaka leo haijulikani nani alikuwa nyuma ya maandamano ayo. Mkuu wa wilaya aliwashauri wananchi wamuuache mpaka kipindi chake kiishe cha ubunge wake.

Ugomvi mkubwa na wananchi wa jimbo la magahribi ni kutompa ushirikiano Magufuri, na kuchongea Magufuri kwa viongozi wakubwa ; Ingawa wote wamesoma katoke seminary.

Ukinganganizi wa Choya ndo maana Biharamulo wakawa wanachagua wabunge wapinzani kuikomoa CCM iliyokuwa inashinikiza Choya kuwa mbunge wa Biharamulo/ Biharamulo ikawa chini ya TLP na CHADEMA, ata CUF kidogo watwae jimbo hilo.
 
Sijaelewa funzo la hekaya hii. Kama lipo basi Choya anatakiwa awe amefungwa.
 
kuna stori unaitafuta, lkn kagango ilikuwa inachukua watoto kutoka buziku, bwanga, muganza na kachwamba. zote za mashariki.


endelea kujinadi, nimezaliwa kasenga, nimesoma Biseco na nafanya kazi Ngara. najua lengo lako
 
Back
Top Bottom