Mgomo wetu walimu upo palepale; cwt hatutaki porojo.

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Kadiri muda unavyokwenda CWT wanazidi kukatisha tamaa.Wamekua wana ongea tu lakini hata kuongea kwenyewe sikuizi hawaongei tena. TZ kwa sasa ipo mikononi mwa CWT. Hii ni kutokana na ukweli usio pingika kwmba kumekuwepo na mgomo baridi kwa mfululizo wa miaka kama mi5 hivi. Nafuu mgomo wa mwezi mmoja baada ya hapo wanafunzi wakafundishwa vizuri ; kuliko mgomo baridi usio na kikomo.
Mgomo baridi unasababisha taifa la kizamani lakini serikali haioni hilo. Viongozi wa CWT kuweni na msimamo acheni ufisi wenu. HATUJA SAHAU MGOMO. TUNATESEKA NA MAZINGIRA MAGUMU HUKU VIJIJINI NYIE MKO DARISALAMA KWENBYE VIYOYOZI.
NB: Ajali ya meli naomba isiingilie mgomo wetu. Serikali inatudharau sana. Tuifufue elimu kwa kurekebisha masilai ya walimu na mazingira ya kufundishia. LET US FIGHT FOR THE FRUITFUL EDUCATIONAL SYSTEM IN OUR LOVELY TANZANIA!!!!!
 
Ulilazimishwa kwenda huko au kubaki huko

Sijalazimishwa, ila sina uhakika vizuri na ubongo wako. Je tukiacha wengi tutamkomoa nani? labda ungeendelea kusema kidogo ningekuelewa.
 
kutokana na kauli za waziri wa elimu na yule wa tamisemi ni dhahiri mgomo hakuna yale yale ya madk
 
kutokana na kauli za waziri wa elimu na yule wa tamisemi ni dhahiri mgomo hakuna yale yale ya madk

Macho na masikio yetu yatazama kwa CWT. Maswala ya mawaziri, watajiju wenyewe. Moto una waka, ngoja utaona tu.
 
Sijalazimishwa, ila sina uhakika vizuri na ubongo wako. Je tukiacha wengi tutamkomoa nani? labda ungeendelea kusema kidogo ningekuelewa.

xaxa unataka na wenzako wagome wakati wamesha goma kugoma nyie ndo wale mnaobebwabebwa kimkumbo wamekutosa wenzako kaa vp anza self maandamano labda utasikilizwa
 
Back
Top Bottom