mgomo wasaidia madreva wa kigogo mburahati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mgomo wasaidia madreva wa kigogo mburahati

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Nov 16, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  Baada ya madreva wa daladala za kigogo mburahati kugoma kutokana na ubovu wa barabara, hatimae serikali ameanza kurekebisha sehemu korofi.
  Madreva wameapa hawataingiza magari yao barabarani hadi barabara yote ilekebishwe.wanasema magari yao yamekuwa yakiharibika sana injini.mgomo umeingia siku ya pili.mia
   
Loading...