Mgomo wanukia chuo cha IFM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wanukia chuo cha IFM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by thatha, Jul 26, 2011.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kuna taarifa kwamba mgomo mkubwa wanukia IFM (nimepigwa simu na mupenzi wangu anaesoma Chuoni hapo).
  kisa eti madai ya wanafunzi kutaka kufelishwa kwa makusudi. wanadai sasa wanfunzi baada ya kujisomea wanangaika kupiga picha
  Kisingizio wasiona vitambulisho wanavyovikubali wakuu waassingie kwenye exam. wanatakiwa wawe na vitambulisho kabla ya saa 10 leo
  Tangazo hilo likija tayari exam imeanza rasmi jana bila ya ufafanuzi kama huo
  tayari mazungumzo ya Mgomo umepamba moto hasa baada ya mwanafunzi 1 jana kutolewa ndani ya ROOM kwa kisingizio hana kitambulisho kama hicho.
  Source. Mupenzi wangu ninae muamini Chuoni hapo
   
 2. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  dah asante kwa taarifa... vipi mpenzi wako na yeye atagoma..?
   
 3. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,075
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  Join Date : 23rd July 2011
  Posts : 6
  Rep Power : 0


  karibi jamvini kwanza............... naomba tu umwambie mupenzi wako asiwe mstari wa mbele hata kama anashawishika kugoma.....
   
Loading...