mgomo wa wallimu je kwa serikari hii na chama chao tutafika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mgomo wa wallimu je kwa serikari hii na chama chao tutafika?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by The speaker, Aug 6, 2012.

 1. T

  The speaker Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuhusu mgomo wa walimu kiukweli ccm wanatupeleka vibaya na wanatumia siasa katika mambo yasioitaji siasa, Maana walimu wetu ndio wanaowatengeneza wao wawe katika nafasi zao. kama Raisi wa nchi ndio anatoa tamko kama lile unategemea nini? watarudi shule lakini watakayoyafundisha ni kinyume na kinachotakiwa, Bila kujipanga hii serikari inabidi ijiuzuru.
   
Loading...