Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

Maafisa elimu Manispaa ya Ilala wanahaha kuzunguka mashuleni na hali ni mbaya.

Nimezungukia shule za Kiwalani, Kigilagila, Hekima, Buguruni A, Buguruni Kisiwani, Buguruni moto etc. Walimu wamegoma mtindo mmoja, naendelea kuzunguka
 
hawa ffu ni wapumbaf sana, wanaweza wakasababisha vifo vya wanafunzi unaona sasa! Sasa ni vita kati ya wanafunzi+wazazi dhidi ya ffu

hapo wameingia choo sio saizi yao,ninavyoijua jamhuri ya watu wa Tunduma,! That is a different cup of tea altogether!
 
Kibaha Mlandizi shule karibia zote msingi na sekondari hakuna walimu kabisa. Wanafunzi wamefurahi leo utawala binafsi kutoroka wakati wenzao wanaandamana.
 
Sasa hivi wanafunzi kata ya ilemela mkoa wa mwanza wapo katika maandamano wakiwa na mabango tofauti yenye maandishi "tunataka haki zetu" wakielekea mahakama ya mwanzo wilaya ya ilemela kufungua kesi zidi ya waalimu kwa kukataa kuwafundisha...

waLimu songea wanakatisha tamaa sana wakuu.
 
Sasa hivi wanafunzi kata ya ilemela mkoa wa mwanza wapo katika maandamano wakiwa na mabango tofauti yenye maandishi "tunataka haki zetu" wakielekea mahakama ya mwanzo wilaya ya ilemela kufungua kesi zidi ya waalimu kwa kukataa kuwafundisha...
Kilimanjaro hususan mjin moshi wanafunz wengi wanarudi nyumbani hali sio nzuri
 
Songea nako walimu wapo kwenye mgomo mzito! Ila H/master wa Nguluma SS ameisaliti CWT! kawakataza wlimu kugoma
 
Urambo Mkoani Tabora, wanafunzi za sekondari wamesambaa mitaani, wa shule za msingi wametawanywa na walimu wakuu wao.

Mgomo umefanikiwa, walimu kaza uzi.
 
Tunduma wanafunzi wanaandamana barabarani. Wakiimba "tunadai haki yetu ya elimu". hali ni tete kuna hatari wazazi wakaingilia kati baada ya polisi kurusha bom la machozi kuwatawanya wanafunzi!
 
Songea nako walimu wapo kwenye mgomo mzito! Ila H/master wa Nguluma SS ameisaliti CWT! kawakataza wlimu kugoma

anatafuta kung'olewa meno kwa praiz huyo! Serikali inapitia kipindi kigumu na haitoki kamwe. Things fall apart!
 
Back
Top Bottom