Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,571
Chama cha waalimu kinaendelea na zoezi la kujaza fomu kwa ajili ya kuitisha mgomo wa waalimu nchi nzima kushinikiza wao kulipwa haki zao pamoja na madeni yao ambayo serikali inadaiwa.
Wamesema kuwa watatangaza aina ya mgomo soon, na wakati huo huo TUICO nayo inasema kuwa mgomo wao uko pale pale kwani mjadala umekuwa wa muda mrefu sana sasa wanasema kuwa azima ya mgomo iko pale pale.
Nchi inakokwenda sijui kwani kila mahali moto...