Mgomo wa ngono duniani.

eddy brown

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
414
310
Kesho ni Cku ya Mgomo kwa Wanaume wote Duniani.. kukemea vikali Swala la kuhonga Hela Wanawake.. kwa sababu..5
=.1..NYEGE Mnazitafuta wote..
=.2...MAPENZI mnafanya wote..
=.3...VIUNO, Mnakata wote
=.4...RAHA ,Mnapata wote.
=.5...KUKOJOA mnakojoa wote. KWANINI NA PESA UMPE..?
HII SIO HAKI...!! HATA PESA YA GEST INABIDI MCHANGIE WOTE!! Ujumbe Huu 2fanikishe Mgomo We2.
 
Leo ni tarehe 25.11.2016, bado mwezi mmoja kamili kufika Christmas.
 
Leo ni tar 25/11/2016 bado siku 3 tu Mahakama iskilize rufaa ya Lema.
 
Haaa haaa haaa nimecheka sana,
Mpendwa,Ila sio lazima uhimize watu wagome anza wewe tu mwenyewe yaani usitongoze uone kama kuna mtu atakufata kwahyo moja kwa moja hautahonga sababu hutakuwa na msichana.
 
Acha ulegevu wewe! Wanawake wakitaka haki sawa mnawapondea sa leo naona unawasapoti. Mwanaume kazi yako ni kuhudumia! Kama unahudumia mke kwanini usihudumie na mpenzi? Wote ni wanawake.
 
mpaka nikuhonge kwani ina tv ndani?!
best of luck sihongagi mademu zangu wanajua
 
Natamani huo mgomo Ungeanza toka mwezi jana, mbona mmechelewa kuanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom