Mgomo wa mafuta kuendelea kesho(j3)!jaza gari yako usiku huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa mafuta kuendelea kesho(j3)!jaza gari yako usiku huu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Aug 14, 2011.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Ndugu wapendwa
  nimetumiwa sms na rafiki yangu ambae mzazi wake ni mmoja wa wenye vituo vya mafuta vinavyoiongoza serikali ya rais jakaya mrisho kikwete kwa upendo na taadhima ameomba niweke gari yangu MAFUTA usiku huu nikamuuliza kivipi
  akasema serikali wamekubaliana kutangaza bei mpya kesho lakini jioni hii kuna mmoja wa wah wa ewura amepingga vikali makubaliano yao na kuwajulisha wenye vitupo na hivi ninavyoongea kuna kamkutano wanajadili nini cha kututenda kuanzia kesho kwa wale wenye kwenda ofisini mpaka ac ndugu zanguni wahini tu usiku mkajaze full maana hii yawezekana ampaka wiki iishe kama itaanza kweli na kama ewura awatatangaza bei mpya
  Ndipo nikamwambia nimeshapaki gari huwa natumia weekend tu ahsante kwa taarifa maana sijuihata km zizlizobaki jinsi walivyotutesa

  awapendae
  hon basias mtoto wa nkulima
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,162
  Trophy Points: 280
  weahindi na waarabu na viongozi wetu wenye kuwepo kwny payrol za makampuni ya mafuta ndio wanaotuhujumu
   
 3. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Hee mkuu buujibuji naona thread ya kupandisha mafuta uwiii naona wameona so lingine wawahi ila nani anaeongoza tanza jamani ni wafanyabiashara ama serikali ya kikwete
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mh hii nayo mpya sasa
   
 5. Pelosi

  Pelosi Member

  #5
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  sidhani kama watafunga vituo kwani tayari tumeshatangaziwa kupanda kwa bei ya hayo mafuta... lla ni vizuri kuweka usiku huu ili kujiondolea usumbufu.
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  ngeleja anapeta, kagushi wakalalia kushoto, kapita kulia, huyoooo anapeta, ndiyo mkome na li-ccm sanaa lenu, nawaambia wakati mwingine wowote hata ccm ikiwapa ahadi tamu kiasi gani msikubali, ni ulaghai wa ki karl peters.
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wameishatangaza leo kwenye taarifa ya habari kesho mafuta yanabanda bei, walivyokuwa wasanii wanasema eti wiki ijayo yatashuka
   
 8. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Tazama ramani utaona nchi nzuriiii.,yenye serikali legelege,inayoongozwa na wauza mafuta eeeh........Chorus....
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Kikwete na serikali yetu legelege si ashawapigia magoti
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  mkuu hujui kama wenyenazo ndo wanaiongoza TZ JK Kawekwa tu pale kama kivuli
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nasema kwa masikitiko kwakuweka nchi rehani ya mgao wa mafuta na umeme
   
 12. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hii ni serikali ya wafanyabiashara kwa hyo hakuna tatizo,ila mkuu shukrani kwa updates na kama utakua na lolote njoo tueleze humuhumu Jf
   
Loading...