Mgomo wa madaktari - Updates

CNN, Aljazeera, BBC nk hawana muda wa kuripoti upuuzi wa madaktari vilaza wa tz. They are aware kuwa Serikali si wa kulaumiwa, otherwise wangeshatia timu kitambo.

.
Kiti cha rais Tanzania kiko wazi. Ila kwa sasa serikali imeshindwa kula na kipofu ambae hujiendeshea maisha bila kujali kuna uongozi ama la. Sasa wameamua kumuamsha na kilichobaki ni raia makondoo wa Tanzania kuhoji kulikoni nchi kuendeshwa bila rais?
.
 
Waziri unamuhusu nini? wakati maswala yao yote yana shughulikiwa? Serikali ikiendelea kuwasikiliza hawa makanjanja wanaojiita madaktari itakuwa haijawatendea haki watanzania. hawa madaktari Kikwete anawachekelea sana, ingekuwa mimi, saa hizi wananyea debe.
Well, kosa ambalo kwangu naona serikali wanafanya kupitia Pinda na wewe inclusive ni kudharau dai la waziri na naibu wake kujiuzulu, ni kama kutegemea gari liende bila kwanza kulitia mafuta.
 
Utawezaje kumlalamikia dereva akuwahishe mahali wakati gari halina mafuta. Badala ya kumlaumu aliyemkosesha mafuta unamlaumu anayeendesha sababu tu ndiye unayemuona kikwazo. Chamsingi ni kutatua kiini cha matatizo na si kuangalia wapi pa kutupa lawama. Serikali imajeribu kutufanyia majaribio, sasa wamepata majibu. Tuna sera nzuri sana za mambo ya afya, ila usimamipo hovyo kabisa. Ukiuliza mapungufu yasiyo yalazima yanatokeaje, utaambiwa TUPO KWENYE MCHAKATO. Haya endeleeni na MICHAKATO hiyooo weeeeee.......
Wewe unadhani kwamba unachokifanya sasa hivi ni sahihi kwa sababu ukiwa kama daktari, katika situation iliyopo sasahivi, ni kweli kwamba "umeshika mpini", on the other side, wagonjwa ndio "wameshika makali". Suppose ingekuwa wewe, pamoja na udaktari wako, uko wodini umelazwa, halafu wenzako wanakuja na msimamo kama huu mliokuwa nao sasa hivi, ungekuja hapa jf na statement gani?
 
Funguka wewe! si kila nchi ina uhaba wa madaktari. Zingine zina surplus kama China, India, Cuba, Misri nk. Kama utakumbuka, juzi balozi wa Misri alikuwa pale Wizara ya Afya, unafikiri alikwenda kunywa chai?

Watamwagwa ma-dr hapa kama ***** na kiburi chenu kitaisha kwani mtapigwa chini. Hizo kazi mtaziomba upya mkiwa mmepiga mgoti na mikono nyuma ......ma-dr vilaza ninyi.

China, India, Misri na Cuba zimeahidi zaidi ya madaktari elfu moja, wako stand-by.

Yaani wewe unafikiri daktari wa kuazima ni sawa na fundi mchundo? muulize Pinda na wanajeshi wake! Mbona Prof.Mbilinyi alijiuzuru enzi za mkapa. Hawa ndo special kivipi! Walitoa taarifa ya uongo Bungeni. waondoke tu!
 
Kumbd keki tamu!

Nilijua tu Vimon atakuja na update iliyosimama kuliko zile ambazo zinatuchanganya. Kuna mama yangu yuko bugando ngoja nipige simu nione kama kuna huduma ama la.

Kuna dalili za mauaji ya Kimbari hapa.
Madaktari tuoneeni huruma sisi wanyonge.

Sio maauaji ya kimbari ni ya kimbunga...
 
Hakuna lalamiko jipya labda tu hujaelewa ni nini kilizungumzwa wakati wa mkutano wa madaktari na Pinda na kusimamishwa kazi katibu mkuu na mganga mkuu,pitia huko na utaona kuwa kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa na napenda ujue kuwa taaluma ya udaktari ni nyeti sana sio kila mtu anaweza kwenda kama ilivyo ualimu(siwashushii heshima walimu la hasha)
Natamani kwenda na petrol nikachome pale magogoni
 
Hawa madakatari wanatakiwa wauliwe, ni magaidi wanaocheza na roho na maumivu ya watu.

Hauwezi kabisa kila siku ukaja na malalamiko mapya ukae uchekewe tu. Nawaomba sana serikali isiwasikilize kabisa na iwape 2 hours wawepo kwenye kazi zao nje ya hapo, wachukuliwe hatua kali sana ikiwepo na kushtakiwa kwa kila kifo kitachotokea wakati wa mgomo, wakasote jela wakijibu kesi za mauaji.

Serikali Lazima itishe isichezewechezewe; Naafiki maneno yako, hapa chini naweka nukuu kutoka kwenye Biblia
kitabu cha1 cha Wafalme sura ya 2;
the days of David drew nigh that he should die; and he charged Solomon his son, saying,
... I go the way of all the earth: be thou strong therefore, and shew thyself a man;

Wito kwa JK, ni wakati wa kutenda sasa, usitake kuwapendeza madaktari kwa kuwa wanaua watu na
kuuonesha uma kuwa wewe ni dhaifu, fuata maneno ya Mfalme Daudi aliyomwambia Mfalme Suleiman
wakati alipomtawaza... "be thou strong therefore, and shew thyself a man;"
Sheria zipo wazi wataalamu wetu wamevunja sheria, umewabembeleza vya kutosha, chukua hatua...muda wa kutafakari umepita.
Najua maneno haya yatawaudhi sana mashabiki wa mgomo lakini hata kama Dr. Slaa akiwa rais hawezi vumilia hali hii
 
Hakuna ya ndani, ni nini kinachowafanya wasimtake waziri? watendaji wakuu wamesimamishwa na Pinda mbele yao alipokutana nao. Sasa wanaingilia ambako mipaka yao hairuhusu wafike.

Kuna mtu kazaliwa na "uwaziri"? kwani wakiondoka/ondolewa itakuwaje? wanang'ang;ania nini?
Kwanini watendaji wakuu wakasimamishwa mara moja ikiwa mawaziri wanatetewa? Kwanini Pinda hakuwatetea watendaji wale? Huoni basi hapo kuna kasoro kiutendaji? Double standards za nini bana?
Pinda alishaonyesha njia - kukubali kuwa uwajibikaji uwe ndio njia.Mawaziri nao waondoke ili kuwe na usawa?
 
Mama weeee!,hata huko kimenuka?
Sasa kama gharama za maisha Dodoma zimepanda unategemea Zanzibar itakuwaje wakati mahitaji yote muhimu wanayategemea yatoke Tanganyika kasoro samaki tu? mgomo hauepukiki haya maisha yameshakuwa siyo!
 
Wagonjwa wote woliokuwa kwenye list ya kufanyiwa upasuaji leo, walichukuliwa wawodini kuanzia saa 12 asubuhi. Muda huu wamerudishwa tena wodini bila kupata upasuaji ,kisa madaktari wapo kwenye vikao.
Source. Mgonjwa aliyekuwa kwenye list ya kufanyiwa upasuaji leo pale moi
 
Funguka wewe! si kila nchi ina uhaba wa madaktari. Zingine zina surplus kama China, India, Cuba, Misri nk. Kama utakumbuka, juzi balozi wa Misri alikuwa pale Wizara ya Afya, unafikiri alikwenda kunywa chai?

Watamwagwa ma-dr hapa kama ***** na kiburi chenu kitaisha kwani mtapigwa chini. Hizo kazi mtaziomba upya mkiwa mmepiga mgoti na mikono nyuma ......ma-dr vilaza ninyi.

China, India, Misri na Cuba zimeahidi zaidi ya madaktari elfu moja, wako stand-by.

komputya yako haina kifaa kinachoitwa 'google'? kitumie kuangalia 'demand'ya madaktari duniani.

Usiombe kukutana na dokta kutoka Cuba akifanya kazi ktk hospitali zetu,ni hatari tupu...mazingira hospitari zetu wanayaweza wazawa tu,kuna vifaa vya tangu vita kuu ya kwanza ya dunia hapa vinapiga kazi kama kawaida,wale wamezoea kila kitu digital kwetu bado tunatumia 'mechanical advantage'. Ma dr.wetu ni kama madreva wa landrove 109,
 
Wewe unadhani kwamba unachokifanya sasa hivi ni sahihi kwa sababu ukiwa kama daktari, katika situation iliyopo sasahivi, ni kweli kwamba "umeshika mpini", on the other side, wagonjwa ndio "wameshika makali". Suppose ingekuwa wewe, pamoja na udaktari wako, uko wodini umelazwa, halafu wenzako wanakuja na msimamo kama huu mliokuwa nao sasa hivi, ungekuja hapa jf na statement gani?

Ningeacha wosia kuwa na Pinda naye aondolewe kwa kuleta ahadi za uongo kama JK na kuponza maisha ya Watanzania.
 
Taarifa zilizonifikia kutoka vyanzo vya kuaminiaka bugando wamebandika tangazo likisomeka hivi

"KUTOKANA NA SERIKALI KUTOKUWA TAYARI KUSHUGHULIKIA MADAI YA MADAKTARI IPASAVYO SISI MADAKTARI TUMESIKITISHWA SANA. KUANZIA LEO TAREHE 7 MACHI 2012 SAA 2; 00 ASUBUHI,MADAKTARI WA HOSPITALI YA BUGANDO TUNASITISHA KUTOA HUDUMA ZOTE MPAKA HAPO SERIKALI ITAKAPOSHUGHULIKIA MADAI HAYO.
JUMUIYA YA MADAKTARI BUGANDO (INTERN,REGISTRARS,RESIDENTS)
NAKALA KWA WAKUU WA IDARA,UTAWALA BMC"

MUHIMBILI
EMD-KITENGO CHA WAGONJWA WA DHARURA KIMEFUGWA

OPD-WAGONJWA WAMEJAA LAKINI HAWAONI

THETRE HAZIFANYI KAZI NA MASPECIALIST WAPO RUSSIAN CULTURE TO PUT LAST NAIL IN THE COFFIN. WAMEUNGANA NA WATAANZA MGOMO RASMI LEO.

AMANA
TOTAL TOOLS DOWN

MWANANYAMALA
TOTAL TOOLS DOWN EXCEPT 4 COs

TEMEKE
TOTAL TOOLS DOWN

MBEYA
WANAENDELEA PALE WALIPOISHI MAANA MGOMO KAMA KAWA

IFAKARA
TOTAL TOOLS DOWN

KCMC
MADAKTARI KUTOA TAMKO MUDA SI MREFU

Ikulu kuna mkutano mkubwa unaendelea nitato updates bdae

JK anatazamiwa kutoa pole kwa wote watakaofikwa na misiba kutokana na mgomo huu halafu baada ya hapo, as business as usual.
 
nenda muhimbili

Hii ni mbaya kupita maelezo, why don't these leaders think about poor citizens who are going to agonisingly die because of their lack of human sense. I can't see Tanzania beyond Kikwete's presidential term, its better if He could resign as I believe that could be a bravery act and would be respected by the world for that. How comes with all the presidential powers at hand he can't even take bravery decisions, very shame to have such an ill-president in the country. Note 4 ALL: This country is for all Tanzanians plus their generatios to come and not Kikwete's, there is no way we can distatnce ourselves from rescuing this Country. Its prime time Tanzanians from all parts to unite and get rid of this inhuman government. It really hurts, Tanzania is at the brink guys, can't you see Our Country perishing. One Tanzania, One Country 4rever.

kuna ugumu sana kufikia muafaka kwenye hili swala maana madaktari wanasema hawapo kurejea kwenye round table discussion kama bado waziri na naibu wake wapo ofisini, serikali nayo inataka mazungumzo lakini haitaki kuwatimua mawaziri husika!!Awali ieleweke wananchi tena wale maskini ndio wanaumia hata kufa wakati hawa mafahali wawili wakipambana, busara ya kawaida ni rais awatoe kwanza kwenye hiyo wizara maana tayari kuna kutokuaminiana kukubwa mno kati ya madaktari na boss wao yaani mawaziri hawa, majadiliano yaanze upya! Bunge letu ambalo ndilo sauti yetu linaweza kuingilia kati na kuisukuma serikali kuwaondoa hao mawaziri maana miongoni mwa kazi za bunge ni kuisimamia serikali sasa mbona limekaa kimya wakati wananchi wanakufa? ilitakiwa spika aitishe kikao cha dharura kujadili swala hili haraka kabla watu hawajaendelea kufa! Waziri wa afya kivuli nae ataoe kauli yake kuhusu hili kwa niaba ya kambi ya upinzani,.Hii damu tunayomwaga ambayo haina hatia!! seriikali ilimwaga damu Arusha, imemwaga songea, ilimwaga wakati wa mgomo wa awali na sasa inamwaga tena!! damu hii inalia toka ardhini ila ikishamfikia mungu hii ardhi yetu italaaniwa na kweli haitakalika itakuwa ni maskani ya pepo wachafu walio na kiu kuu ya damu,.TUEPUSHE HAYA!!!
 
komputya yako haina kifaa kinachoitwa 'google'? kitumie kuangalia 'demand'ya madaktari duniani.

Usiombe kukutana na dokta kutoka Cuba akifanya kazi ktk hospitali zetu,ni hatari tupu...mazingira hospitari zetu wanayaweza wazawa tu,kuna vifaa vya tangu vita kuu ya kwanza ya dunia hapa vinapiga kazi kama kawaida,wale wamezoea kila kitu digital kwetu bado tunatumia 'mechanical advantage'. Ma dr.wetu ni kama madreva wa landrove 109,

Tena ongezea kwamba "ufagio wa kale unajua kila kona ya nyumba kuliko ufagio mpya".Madaktari wa Tz WANAJUA KU IMPROVISE...asifanye mchezo!
 
Taarifa zilizonifikia kutoka vyanzo vya kuaminiaka bugando wamebandika tangazo likisomeka hivi

"KUTOKANA NA SERIKALI KUTOKUWA TAYARI KUSHUGHULIKIA MADAI YA MADAKTARI IPASAVYO SISI MADAKTARI TUMESIKITISHWA SANA. KUANZIA LEO TAREHE 7 MACHI 2012 SAA 2; 00 ASUBUHI,MADAKTARI WA HOSPITALI YA BUGANDO TUNASITISHA KUTOA HUDUMA ZOTE MPAKA HAPO SERIKALI ITAKAPOSHUGHULIKIA MADAI HAYO.
JUMUIYA YA MADAKTARI BUGANDO (INTERN,REGISTRARS,RESIDENTS)
NAKALA KWA WAKUU WA IDARA,UTAWALA BMC"

MUHIMBILI
EMD-KITENGO CHA WAGONJWA WA DHARURA KIMEFUGWA

OPD-WAGONJWA WAMEJAA LAKINI HAWAONI

THETRE HAZIFANYI KAZI NA MASPECIALIST WAPO RUSSIAN CULTURE TO PUT LAST NAIL IN THE COFFIN. WAMEUNGANA NA WATAANZA MGOMO RASMI LEO.

AMANA
TOTAL TOOLS DOWN

MWANANYAMALA
TOTAL TOOLS DOWN EXCEPT 4 COs

TEMEKE
TOTAL TOOLS DOWN

MBEYA
WANAENDELEA PALE WALIPOISHI MAANA MGOMO KAMA KAWA

IFAKARA
TOTAL TOOLS DOWN

KCMC
MADAKTARI KUTOA TAMKO MUDA SI MREFU

Ikulu kuna mkutano mkubwa unaendelea nitato updates bdae
Now we are talking........sasa niwaombe tu madaktari popote nchini...hakika hakuna kurudi nyuma..kamateni hapahapa hamna kuachia mpaka hawa watawala waamke.Imekuwa kila mara ni mizaha tu wanafanya kwenye mambo ya msingi...mbaya zaidi wameingiza siasa kwenye issue za vichwa makini vya madaktari.......wameshindwa kujifunza wanashughulika na watu wa namna gani....wamezoea kusukuma raia kama makondoo......
My take:
  • Rai yangu kwa madaktari wooote nchini kuwa kitu kimoja kupita siku ntingine zozote sasa.....asirudi daktari nyuma kwani haitasaidia kamwe.......ukombozi wa kweli wa sekta ya afya ni wakati huu na hamna kurudi nyuma mpaka kieleweke...shime shime madaktari...
  • Tafadhalini madaktari....msitishike na vitisho vyovyote watakavyokuja navyo watawala......wanaweza kuja na vitisho vya kufukuza watu watu kazi kwa ultimatum......hili litashindikana pale tu ambapo mtasimama pamoja kama timu moja nchi nzima na si vinginevyo.......waacheni watawala waje na madaktari wao wa kununa toka kokote kule watakapo lakini nyie msirudi nyuma.......hizi dharau za serikali ni wakati sasa kuzikataa hima......
  • My friends Docs....together you will always stand firm and not otherwise..........UNA FIRMUS ET FIDENS!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom