Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,507
Naunga mkono madai ya Madaktari, serikali yetu si sikivu mara nyingi inajiona iko juu ya sheria ikifikiri mahakimu wako chini yake, lakini niseme mahakimu wakubwa ni wananchi kuna siku itahukumiwa.
Huu mgomo ni well calculated, madaktari wameanza na sharti ambalo serikali haihitaji hata shilingi moja kulitatua, ni la waziri kujiuzulu, hapo serikali haina kisingizio. Kwa hiyo madaktari wanafanya mgomo si kwa ajili ya dai moja tu ila wameona kama dai dogo tu serikali hawezi kutekeleza itakuwaje watakapodai mengine yanayohitaji pesa?