sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Na usishangae kesho ukasikia ameenda kukusanya net kwa Obama!Aisee....!
Rais yuko Moshi anapanda mlima Kilimanjaro.
Na usishangae kesho ukasikia ameenda kukusanya net kwa Obama!Aisee....!
Rais yuko Moshi anapanda mlima Kilimanjaro.
Matakwa yao yapi sasa? kuondolewa kwa waziri na naibu wake au yale madai yao ya awali?
...It is simple...pata ajali,vunjika mguu then wakupeleke MOI..utashuhudia kuwa hawa jamaa hawajagoma wala nini bali ni danganya toto tu.Napata shida sana kuamini habari za mgomo wa madaktari.
Madaktari wetu wanatumiwa na vyama vya siasa, mgomo huu ni wa kisiasa zaidi kuliko masilahi. Madaktari hawana uwezo wa kupanga baraza la mawaziri, kazi yao ni kutibu. Inanisikitisha sana kuona madaktari wetu wanafanya upuuzi kama huu.
sikulaumu kwani avatar yako inaeleza unafanya niniMadaktari wengi wana tabia mbaya wanatoa huduma mbovu lakini leo wanasema wanahitaji vifaa kwa ajili yetu wagonjwa wakati hata huduma ya mdomo tu wanashindwa kwa wagonjwa. Mgomo ni wa kulilia maslahi yao si vifaa vya wagonjwa wangeanza na huduma bora.
Hakuna lalamiko jipya labda tu hujaelewa ni nini kilizungumzwa wakati wa mkutano wa madaktari na Pinda na kusimamishwa kazi katibu mkuu na mganga mkuu,pitia huko na utaona kuwa kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa na napenda ujue kuwa taaluma ya udaktari ni nyeti sana sio kila mtu anaweza kwenda kama ilivyo ualimu(siwashushii heshima walimu la hasha)
Madaktari wetu wanatumiwa na vyama vya siasa, mgomo huu ni wa kisiasa zaidi kuliko masilahi. Madaktari hawana uwezo wa kupanga baraza la mawaziri, kazi yao ni kutibu. Inanisikitisha sana kuona madaktari wetu wanafanya upuuzi kama huu.
heri mimi na baba tunatibiwa india.:lol:
Taarifa zilizonifikia kutoka vyanzo vya kuaminiaka bugando wamebandika tangazo likisomeka hivi
"KUTOKANA NA SERIKALI KUTOKUWA TAYARI KUSHUGHULIKIA MADAI YA MADAKTARI IPASAVYO SISI MADAKTARI TUMESIKITISHWA SANA. KUANZIA LEO TAREHE 7 MACHI 2012 SAA 2; 00 ASUBUHI,MADAKTARI WA HOSPITALI YA BUGANDO TUNASITISHA KUTOA HUDUMA ZOTE MPAKA HAPO SERIKALI ITAKAPOSHUGHULIKIA MADAI HAYO.
JUMUIYA YA MADAKTARI BUGANDO (INTERN,REGISTRARS,RESIDENTS)
NAKALA KWA WAKUU WA IDARA,UTAWALA BMC"
MUHIMBILI
EMD-KITENGO CHA WAGONJWA WA DHARURA KIMEFUGWA
OPD-WAGONJWA WAMEJAA LAKINI HAWAONI
THETRE HAZIFANYI KAZI NA MASPECIALIST WAPO RUSSIAN CULTURE TO PUT LAST NAIL IN THE COFFIN
AMANA
TOTAL TOOLS DOWN
MBEYA
WANAENDELEA PALE WALIPOISHI MAANA MGOMO KAMA KAWA
KCMC
MADAKTARI KUTOA TAMKO MUDA SI MREFU
Ikulu kuna mkutano mkubwa unaendelea nitato updates bdae
....IzeGREAT think zat mayb its tm 4ze people hu wil b luzin zer belovd ones in zis strike2take action and stand up wiz ol ze Doctors ol ova ze Country and show our CCM-gavament zat ''..if citizens kept zem in zeir ofices,zen zei can remove zem frm zer..'',but since CCM-gavament along wiz zer preisednt knwz zat ...''no citizen kept zem zer but raza zer pawa of mchakachuo...'' zei ar NEVER GONA BACK DOWN,wiza pipo ar gona luz zeir relatives and frndz as long as AIRPORT STL WORKS SO ZEN ZEI CAN TRAVEL2INDIA ANY TIME ZEI GET FLUU...,bigest mistake was2even alow zem2go2ze IKULU in 2010..,kila m2anaishi kwa profesion yake,kazi za wito ndo zinazothaminiwa,kama huamini angalia viongozi wote wa dini jinsi wanavothaminiwa na waumini wao and see ze way zei live socially...,vp kwa Daktari asiye hata na glovz ktk chumba cha upasuaji,..nazani wanaojua ni magonjwa mangapi yanaambukizwa kwa blood na ambayo ni very deadly wananipata except kwa wale walio2mwa ha2kuwa sawa.....MAY GOD HAV MERCY UPON OL OF US B4WE FALL INTO PIECES....
Mpaka kieleweke.....JK atakimbia Magogoni.
Madaktari wetu wanatumiwa na vyama vya siasa, mgomo huu ni wa kisiasa zaidi kuliko masilahi. Madaktari hawana uwezo wa kupanga baraza la mawaziri, kazi yao ni kutibu. Inanisikitisha sana kuona madaktari wetu wanafanya upuuzi kama huu.
weka politic pembeni focus kwenye topic watu wanaumia unajua huku wengine wakikenua tuwafuasi wa chama cha maandamano wanafurahi sana kuona nchi inatikisika kwa mgomo huku watu wanakufa.
Na usishangae kesho ukasikia ameenda kukusanya net kwa Obama!
Pumba Express!!Umetushushia heshima walimu!!! Kututaka radhi haitoshi zaidi ya kusitisha mgomo wako wenye chembe lukuki za kisiasa na umimi!!! AFISA UHAMIAJI aliyefiwa na MTOTO wake na MZAZI wake unategemea siku unaenda kugonga PASSPORT yako kwenda BOTSWANA kwenye greener pasture naye akaleta MGOMO wa kibinafsi na wenye chembe za siasa utaenda wewe unakodai kuna maslahi bora? Kwa wakati huo kati ya daktari na afisa uhamiaji nani atakuwa na TAALUMA muhimu ambayo si kama madaktari ambao ndani pamewashinda wanataka torokea nje?.....! Tutumie vichwa kufikiri na si viungo vingine vya mwili!!!
Hawa madakatari wanatakiwa wauliwe, ni magaidi wanaocheza na roho na maumivu ya watu.
Hauwezi kabisa kila siku ukaja na malalamiko mapya ukae uchekewe tu. Nawaomba sana serikali isiwasikilize kabisa na iwape 2 hours wawepo kwenye kazi zao nje ya hapo, wachukuliwe hatua kali sana ikiwepo na kushtakiwa kwa kila kifo kitachotokea wakati wa mgomo, wakasote jela wakijibu kesi za mauaji.
madaktari kupitia chama chao hawajawahi kutoa japo tamko moja tu kujutia vifo vya watanzania wenzetu waliopoteza maisha katika mgomo wa kwanza. Ni ishara kwamba vifo kwao ni jambo la kawaida. Hata kama ulikuwa ni mgomo lakini wangetoa tamko kwamba waliumizwa na hali iliyojitokeza ya wananchi kufa wakati wamegoma lakini hawakuwa na jinsi. Wauaji tu ndio kauli inayofaa.
Kwenye red unapotosha umma kuwa makini na siasa za chama cha maandamano kuna mkono wao
Wala haisaidii, utasema yote.,. Anaefurahia ni JK manake wanaokufa ni walalahoi wanaomfanya akose usingizi kila kukicha!wafuasi wa chama cha maandamano wanafurahi sana kuona nchi inatikisika kwa mgomo huku watu wanakufa.