Mgomo wa madaktari: Kigwangwalla kufukuzwa CCM?

DR Kigwa alipata lini uraia wa Tanzania. Nasikia kapenyezwa na majasusi wa nchi moja jirani akishika nchi tumekwisha. i
 
Anatafuta nini CCM kama anatofautiana nao? Dr Kigwa ana mtazamo wa chadema lakini bado anataka kufaidi matunda ya CCM. Hamnazo kabisa huyu.
 
Habari za ndani kabisa mpango wa kuvua gamba kigwangalla upo katika hatua za mwisho ndani ya chama, kama unabisha subiri uone!

Suala si ubishi,ila kamwe hawana uwezo wa kufanya hivyo,kisiasa litakuwa pigo sana kwa ccm na kama unavyojua ccm ipo tayari wananchi wake wafe ilimradi ccm iendelee kuwapo hata kama ni kwa mabaya.
 
Tena aliwaahidi jamaa zake atajifanya kimbelembele sana bungeni ili aweze kupata umaarufu na hatimae kuwa kwenye cabinet.
 
Rudisha kadi ya CCM kwa sasa unakuwa kama umetumwa na chadema kuivuruga CCM,

Nyie ndiyo mlikuwa mstari wa mbele kukebehi maamuzi ya nccr na cuf juu ya maamuzi yao juu ya kafulila na hamad kwamba vyama hivyo wanashindwa kuvumilia mawazo tofauti ya wengine,mbona sasa hata jua halijachwa mmeanza kuongea tofauti!!!ccm tunaomba wavumilie mawazo tofauti,hiyo ndiyo demokrasia waache udikteta.
 
..source na sababu ndo vitu vya kuwekwa hapa kwenye jukwaa makini
 
kigwangala ni mropokaji halafu hajafanya intern ktk udokta wake kwa hiyo anahamasisha mgomo ili nae baadae apate fursa ya kufanya intern,.hapo alipo hawezi kutibu,hicho cheo ni jina/ceremonial tu
 
Kama alikaa kimya na kukaangwa na kushindwa kutetea msimamo wake hafai!

Hapana Mkuu,

Hata mie ningekaa kimya...weapons are very expense and you don't use them unnecessarily...Kama alishaona kwamba watu wanaenda wapi...silence was a better option.. Na ukizingatia watu wenyewe ni mavuvuzela!

Ila baada ya kuwasikiliza sasa anaweza kuwajibu vizuri tena akiwa sober!!

DC
 
Silaha pekee ya kumuokoa Kigwangala ni kutishia kutoa barua ya kujiuzulu. CCM wanajua kuwa watapoteza uchaguzi mdogo huko Arumeru, hawako tayari kuona jimbo la Nzega wakiliachia hivihivi ukizingatia na majeraha waliyopata kwenye kura za maoni nzega 2010. Ghasia asifikiri kampeni ya kushinda jimbo ni sawa na kuinua mguu kitandani.

Gagnija kushinda jimbo si sawa na kunyanyua mguu kitandani ?
 
Mbona huyu Ghasia hata yeye mwenyewe kwenye kura za maoni 2005 alishika nafasi ya 2?
Lakini kwa kumtumia mama Salma Kikwete akapendelewa kupeperusha bendera ya CCM?
Kweli nyani hajioni ***** le!
 
...ingawa Kigwangala huwa sikubalianinae ktk mambo mengine lakin ktk hili la madaktari naunga mkono msimamo wake kwani fani yake ya udaktari ni zaidi ya ubunge.Ndugu yangu Kigwangala shikilia hapohapo usiwasikilize hao wauza maneno,ccm itakufa lakin udaktar utabaki...kuna wakati jina la mtu linaweza kumwelezea mtu yeye ni nani,huyo waziri wa utumishi(GHASIA) nadhani jina lake limebeba maana halisi ya yeye ni nani!...kamusi yangu ya kiswahilh iko mbali kidogo,but kwa wale wataalam wa luga ya kiswahili watanisaidia,je nini maana ya neno "ghasia"...Pamoja ya-kwamba wewe ni "ghasia" ebu jaribu kutumia utashi wako wa-kibinaadam uone kama unaweza kuzitumi ekima na busari kidogo ulizojaaliwa kuwataka radhi wazazi wa Kigwangala.Sioni ni kwajinsi gana wazazi wa Kigwangala wahusika na huo msimamo wa mtoto wao wa kutetea maslai ya fani yake.Kwa kauli yako hiyo eti Kigwangala hakufunzwa vema na wazazi wake,inaonyesha wazi umeshidwa kujibu hoja za Kigwangala na ulicho weza ni kutoa ghasia zako kinywani...ama kweli Watanganyika bado tunasafari ndefu sana kama tutaendelea kutawaliwa na haya ma-ghasia!...
 
Back
Top Bottom