Mgomo wa madakitari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madakitari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ney kush, Mar 7, 2012.

 1. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Mgomo wa madaktari umeanza rasmi saa tisa alasiri leo jumatano.... Ntaendelea kuwapa taarifa kila kinachoendelea
   
 2. k

  kabindi JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni wajinga! wanapoteza Muda.! waelevu hatuungani na upumbavu huu! kuacha watu wafe kwa kukosa huduma eti mnashindana na Serikali?
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Swali la msingi? Mgomo huu una utofauti gani na ule wa awali? Katika ule wa awali tuliona manesi hawakutoa ushirikiano mkubwa na baadhi ya hosptitali mikoani nazo hazikutoa ushirikiano wa kutosha, unalisemaje hilo?

  Swali la ngongeza, kwa muda mfupi wa toka saa tisa unaweza ukasemaje kuhusi huo mgomo umefanikiwa au bado unasusasua?
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Huo ni ujinga lakini ulio ujinga zaidi ni huyo anajua ujinga kushindwa kusolve ujinga huo.
  Katika hili wa kulaumiwa na serikali na ujinga wake wa kuwakumbatia Mponda na mwenzake Nkya. Nchi za kiarabu serikali kama hii hiyo ndiyo ingekuwa chachu ya kuing'oa serikali madarakani kwa kuendekeza siasa uchwara na kuacha uwajibikaji.
   
 5. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Nipeni updates za wagonjwa wetu hsptln. Nanoa panga hapa, kuna m**ge namtajeti hapa. Hawawezi kuuwa ndugu zetu afu tuwaache tu!
   
 6. s

  sugi JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  kazi ipo,tudumishe amani
   
 7. uronu

  uronu Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 5
  what z going on behind the scene..!!!
  Mbona hili swala linachukuliwa kisiasa sana na serikal au ndo mambo yameshaanza kunuka
  but na nyie madaktar wetu wajibu wenu?
  Coz "if you need right fulfill your responsibility" kama mmetimiza wajibu wenu je! Kuna siri gan ya kutotekeleza madai yenu.

  English philosopher bw. Karl max said "any conflicts in a society must act as the only tool for developmnt"
  may b na wao wako sawa.
   
Loading...