Mgomo wa daladala Mbeya

Mtu from nowhere anatoa amri, pambano la Mpira Simba na Yanga liahirishwe bila hata kuangalia washabiki wanavyoingia hasara ya usafiri, Malazi na viingilio. Pesa za watu DECI nazo zilipotea kwa ubabe pia. Wasikilizwe bila kujali idadi yao.
Mwenye akili atakuwa amejifunza, kama ana masikio amesikia na kama ana macho atakuwa ameona, sidhani kama atarudia upumbavu alioufanya, hakuna marefu yasiyo na ncha, watu wamechoka, enzi za ubabe na dhuruma zinaelekea ukingoni
 
Mbeya palikuwa na usafiri mzuri sana wa daladala, pengine kuliko mji wowote Tz ila RC na bajaji zake anataka kuharibu.
 
Mbeya palikuwa na usafiri mzuri sana wa daladala, pengine kuliko mji wowote Tz ila RC na bajaji zake anataka kuharibu.
Bajaji zimetoka Japan, China na India hazijaletwa na RC.
Daladala wawe wapole kama sisi madereva taxi tulivyo wapole. Hapa nilipo nina wiki sijapata abiria ila wala sijagoma.
 
Back
Top Bottom