Mgomo wa daladala Mbeya

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Dec 14, 2016
13,992
31,695
Habari

Muda huu mbeya mjini hakuna daladala inayo tembea barabarani

Route za kuanzia igawilo stand mkuu na mbalizi mwanjelwa

Wahusika wafanye haraka kutatua hili maana wananchi wanateseka

Nauli imepanda Mara mbili zaidi
 
Wamiliki wa dala dala mbeya wapo wangapi??
Hata wakiwa wawili, utawalazimisha? Kinachotakiwa ni kuwasikiliza na kuelewa concern yao sio kuleta ubabe wa kidola. Ubabe ndio umeifikisha hii nchi hapa tulipo. Mfano, Mtu from nowhere anatoa amri, pambano la Mpira Simba na Yanga liahirishwe bila hata kuangalia washabiki wanavyoingia hasara ya usafiri, Malazi na viingilio. Pesa za watu DECI nazo zilipotea kwa ubabe pia. Wasikilizwe bila kujali idadi yao.
 
Kweli mkuu wake walimalize tatizo sio kulazimisha watu
 
Hata wakiwa wawili, utawalazimisha? Kinachotakiwa ni kuwasikiliza na kuelewa concern yao sio kuleta ubabe wa kidola. Ubabe ndio umeifikisha hii nchi hapa tulipo. Mfano, Mtu from nowhere anatoa amri, pambano la Mpira Simba na Yanga liahirishwe bila hata kuangalia washabiki wanavyoingia hasara ya usafiri, Malazi na viingilio. Pesa za watu DECI nazo zilipotea kwa ubabe pia. Wasikilizwe bila kujali idadi yao.
Wana hoja gani isoyoisha??
 
Back
Top Bottom