Mgomo wa daladala Mbeya tunaoumia ni sisi wananchi wanyonge

mzabhe

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
261
279
Sasa imepita wiki usafiri unaotumika kutufikisha mjini ni bodaboda na bajaji hali ambayo imepelekea maisha yetu kuwa magumu. Chukulia route ambayo mtu anatumia 800 kwenda na kurudi saizi inabidi uwe na 2000 hadi 3000,, sasa kwa hali hii haya ni mateso kwa sisi raia wanyonge

N.B: Mkuu wa mkoa mpya tunaombz uanzane na hili maana sasa ni kero
 
Mi sijui hata Kama Kuna mgomo,naishi Iyunga,ni mwendo wa bajaji tu!
Watu wa mbalizi,Iwambi, na Igawilo na nsalaga,uyole ya kati,Cha Moto wanakiona🤔🤔!
Hapa mbeya SUMATRA wamekwama Sana kuzimanage root za daladala na Bajaj!
 
Mi sijui hata Kama Kuna mgomo,naishi Iyunga,ni mwendo wa bajaji tu!
Watu wa mbalizi,Iwambi, na Igawilo na nsalaga,uyole ya kati,Cha Moto wanakiona!
Hapa mbeya SUMATRA wamekwama Sana kuzimanage root za daladala na Bajaj!
Ww wa Iyunga wala haikuathiri sis tunaokaa mbalizi chamoto tunakiona
 
Back
Top Bottom