Mgomo mkubwa wa wenye vituo vya mafuta 2011!

nilimsikia nyalandu anapiga kampeni kwenye tbc asbh,
hivi kipindi cha kampeni bado?na hawa ccm wataanza kazi lini? nchi inaangamia wao wanapiga porojo tu na mkuu yeye ni futari tu kila siku.
 
<font size="3"><b><font color="#0000FF">Jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kaka, unataka kutuambia serikali yetu imemchukua mkeo? Sio kweli. Zimewahi kutokea serikali dhalimu duniani kama za akina Hitler na Mussolin lakini sijawahi kusikia serikali iliyochukua wake za watu. Mimi bado naiaminia serikali yetu.<br />
<br />
Ugomvi wangu mkubwa uko kwa baadhi ya vyama vya siasa legelege ambavyo hata kusimamia kanuni na katiba zao haviwezi zaidi ya hadithi za kila siku. Lakini kwa serikali, hapana; ni mamlaka kamili kutoka juu hatuna budi kuitii kwa kila namna.</font></b></font>
<br />
<br />
Hata wakiuza ardhi yetu tuitii? Wakiuza uda tuseme hewala? Wakishiriki kusafirisha wanyama wetu kwenda Arabuni tuseme hongera? Hapana, hapana, hapana.
Hiyo itakuwa siyo mamlaka kutoka kwa Mungu wetu.
 
Kwa sababu hili limegusa wengi, labda huo mfumo mpya wa EWURA wa kukokotoa thamani halisi ya mafuta utarekebishwa na bei irudishwe kama zamani. Nitaendelea kuishangaa serikali yetu kimoyomoyo jinsi ambavyo wachache walioagiza magari, na wakakumbana na mfumo mpya wa kukokotoa thamani ya gari inayoingizwa, hamna aliyesikilizwa na wakaishia kulipa kodi nene zaidi ya matarajio yao.

Sorry, looks like am dreaming mchana kweupeee.....
 
By M. Njaakali.

Transport in and around Dar es salaam city has become almost impossible due to an unexplained and unresolved causes that remains a mystery todate since the government intervened in the market by lowering the prices by around 8 per cent.Today, there were long queues in the few stations that were selling the commodity. However, getting petrol put into your car became impossible because those who were served were those with safe or even unsafe containers.Most of them being hawkers.

They were selling petrol at double the official price right next to the petrol stations fuel pumps.The ongoing session of the national parliament had to break from planned budget session to discuss the matter saying it was now a nation's crisis.Although MPs requested that the lunch and rest session be used to discuss the matter, the Deputy speaker adjourned the parliament giving speculation that the matter has reached the top most echelons of the government and a breathing space was needed for Ikulu to sort out the matter.

It is, however, no secret that at least one-third of the parliamentarisns are somehow linked with the petroleum industry whether as owners of petrol stations or investors or as importers.There are number of businessmen who feel at home at the state house and their contribution to the ruling party, CCM is considerabale and critical in its daily running and during parliamentary elections.

It is highly unprobable, therefore, for the crisis to be solved in favor of the common man instead of the fuel speculators cum businessmen.

Usipende kuendekeza lugha ya malkia, tumia lugha yetu adhimu ya kiswahili.

Wazungu nwenyewe wanafanya bidii kujifunza na kuongea kiswahili huku waswahili wakijitahidi kukimbilia lugha za kigeni.

Na kama kweli wewe ni mbunge,hii ni aibu kwako na kwa wananchi unaowawakilisha. Si ajabu huendi kuwasalimia wapiga kura wako na umeishia kukaa masaki kwa kushindwa lugha ya kuwasiliana nao.
 
Usipende kuendekeza lugha ya malkia, tumia lugha yetu adhimu ya kiswahili.

Wazungu nwenyewe wanafanya bidii kujifunza na kuongea kiswahili huku waswahili wakijitahidi kukimbilia lugha za kigeni.

Na kama kweli wewe ni mbunge,hii ni aibu kwako na kwa wananchi unaowawakilisha. Si ajabu huendi kuwasalimia wapiga kura wako na umeishia kukaa masaki kwa kushindwa lugha ya kuwasiliana nao.

Mbona signature yako imeandikwa lugha ya Malkia...acha kumuonea
 
Back
Top Bottom