FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,039
- 40,701
Inasemekana mgomo huu utapunguza kama si kuondoa kabisa kuyumba kwa uchumi. Infact kitu cha kuagiza kiwe ni mafuta na madawa tu! full stop! Hata laptop usinunue..!, kwa sasa tumia hiyo simu ambayo unayo.., ni laptop tosha! Yaan hata cement.., kama imetoka pakistan usinunue!
Ma-counter book kama yametoka nje usimnunulie mwanafunzi.., mpe ubao na chaki.., ndio.., hata mswaki kama umetoka nje usinunue..! chuma kijiti kwenye mti sugua hiyo mimeno yako iliyo jaa chochlate kutoka south africa! ndio.., si ndio tulichonacho??! pia acheni ujinga ujinga huu wa kipumbavu wa kutumia tooth pick kutoka China, chuna chelewa kutoka kwenye mnazi na uchokonolee hiyo mimeno iliyojaa mi-biskuti kutoka uarabuni..!
Tena hakyanani hata bigijii kama sio ya Tanzania usinunue! gomaaaa! hata madawa ya kulevya kama sio home grown usitumie.., yaan nyie hata bangi mnataka kutumia za Kenya??!!! mbona Arusha zipo??! hata cocaine kama ni ya nje usibwie huo unga! gomaaaaa...! tumia chokaa alafu changanya na mkojo wa mbwa.., kuwa mzalendo, utalewa tuu..!
Dadadeki hata kama malaya akiwa ni wa kichina.., mgomeee..! nenda Sinza godamn it!!! Kuwa mzalendoo!!! tena marufuku kumlipa kwa dollar.., mpe shillingi akanywee chai kesho asubuhi.., dollar ndio nini..??! Tena mkienda kwenye hoteli kubwa kubwa gomeni kulipa kwa dollar..!!! toeni shillingi m*b*w*a nyie...! muwe na uzalendo! Afu acheni ulofa wa kununua vitu online kwa dollar.., kama hawataki shillingi yetu basi wauziane wenyewe hiyo mi-programme yao..! watuache na shillingi yetu! Alafu na nyie ndugu zangu.., kwani ni lazima muende mlimani city?! Nendeni buguruni sokoni au njooni kariakoo..! stupid kabisa.., unaenda kuangali movie pale ili akina ray wafe njaa?! jamani gomeni kwenda kwenye cinemas.., nendeni kwenye vibanda umiza.., bongo muvi imeimarika!!! kuweni wazalendoooo...!!!!!!!!! UZALENDO OYEEEEEEE...!!!!
DON FRANCIS