Mgomo mkali sana wa kutumia bidhaa za nje!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
30,138
30,159
Inasemekana mgomo huu utapunguza kama si kuondoa kabisa kuyumba kwa uchumi. Infact kitu cha kuagiza kiwe ni mafuta na madawa tu! full stop! Hata laptop usinunue..!, kwa sasa tumia hiyo simu ambayo unayo.., ni laptop tosha! Yaan hata cement.., kama imetoka pakistan usinunue!

Ma-counter book kama yametoka nje usimnunulie mwanafunzi.., mpe ubao na chaki.., ndio.., hata mswaki kama umetoka nje usinunue..! chuma kijiti kwenye mti sugua hiyo mimeno yako iliyo jaa chochlate kutoka south africa! ndio.., si ndio tulichonacho??! pia acheni ujinga ujinga huu wa kipumbavu wa kutumia tooth pick kutoka China, chuna chelewa kutoka kwenye mnazi na uchokonolee hiyo mimeno iliyojaa mi-biskuti kutoka uarabuni..!

Tena hakyanani hata bigijii kama sio ya Tanzania usinunue! gomaaaa! hata madawa ya kulevya kama sio home grown usitumie.., yaan nyie hata bangi mnataka kutumia za Kenya??!!! mbona Arusha zipo??! hata cocaine kama ni ya nje usibwie huo unga! gomaaaaa...! tumia chokaa alafu changanya na mkojo wa mbwa.., kuwa mzalendo, utalewa tuu..!

Dadadeki hata kama malaya akiwa ni wa kichina.., mgomeee..! nenda Sinza godamn it!!! Kuwa mzalendoo!!! tena marufuku kumlipa kwa dollar.., mpe shillingi akanywee chai kesho asubuhi.., dollar ndio nini..??! Tena mkienda kwenye hoteli kubwa kubwa gomeni kulipa kwa dollar..!!! toeni shillingi m*b*w*a nyie...! muwe na uzalendo! Afu acheni ulofa wa kununua vitu online kwa dollar.., kama hawataki shillingi yetu basi wauziane wenyewe hiyo mi-programme yao..! watuache na shillingi yetu! Alafu na nyie ndugu zangu.., kwani ni lazima muende mlimani city?! Nendeni buguruni sokoni au njooni kariakoo..! stupid kabisa.., unaenda kuangali movie pale ili akina ray wafe njaa?! jamani gomeni kwenda kwenye cinemas.., nendeni kwenye vibanda umiza.., bongo muvi imeimarika!!! kuweni wazalendoooo...!!!!!!!!! UZALENDO OYEEEEEEE...!!!!

DON FRANCIS
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
30,138
30,159
Vipi sisi wanunua papuchi za kichina Ohio Street??

Soma hapo vizuri..

rubii

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
11,689
12,983
omba promo kwa madame a.k.a mheshimiwa mgomo huu utafanikiwa...
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
30,138
30,159
Mkuu sasa tukigoma kila kitu moto tutawashia nni??? mana hata njiti ya kiberiti inatoka nje ya nchi
hvi zile za ESICUROUW zingeshindwa hata kufungua kiwanda cha njiti za kiberiti

usijali bhana.., tafuta vijiti viwili vikavu na majani makavu.., sugua hivyo vijiti kama wamasai wanavyofanya.., goma kabisa kutumia viberiti vya pakistan.., tumia KIBO MATCH cha bongo..!
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
12,190
14,185
mgomo wako ungekuwa una mantiki kama na sisi tungekuwa tunazalisha bidhaa zetu vinginevyo ni sawa na kinu kutwanga maji labda ungeniambia tusinunue pombe kali za nje,bia za nje.soda za nje hata sigara nje kwani tuna viwanda vyetu vinavyozalisha bidhaa hizo kwa ubora wa hali ya juu
 
Kavishei

Senior Member
Nov 9, 2014
117
41
Makaunter, viberiti, biscuits, chocolates nk tunazalisha at least tuanze na hivyo basi
 
Tamalisa

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
2,544
896
Inasemekana mgomo huu utapunguza kama si kuondoa kabisa kuyumba kwa uchumi. Infact kitu cha kuagiza kiwe ni mafuta na madawa tu! full stop! Hata laptop usinunue..!, kwa sasa tumia hiyo simu ambayo unayo.., ni laptop tosha! Yaan hata cement.., kama imetoka pakistan usinunue!

Ma-counter book kama yametoka nje usimnunulie mwanafunzi.., mpe ubao na chaki.., ndio.., hata mswaki kama umetoka nje usinunue..! chuma kijiti kwenye mti sugua hiyo mimeno yako iliyo jaa chochlate kutoka south africa! ndio.., si ndio tulichonacho??! pia acheni ujinga ujinga huu wa kipumbavu wa kutumia tooth pick kutoka China, chuna chelewa kutoka kwenye mnazi na uchokonolee hiyo mimeno iliyojaa mi-biskuti kutoka uarabuni..!

Tena hakyanani hata bigijii kama sio ya Tanzania usinunue! gomaaaa! hata madawa ya kulevya kama sio home grown usitumie.., yaan nyie hata bangi mnataka kutumia za Kenya??!!! mbona Arusha zipo??! hata cocaine kama ni ya nje usibwie huo unga! gomaaaaa...! tumia chokaa alafu changanya na mkojo wa mbwa.., kuwa mzalendo, utalewa tuu..!

Dadadeki hata kama malaya akiwa ni wa kichina.., mgomeee..! nenda Sinza godamn it!!! Kuwa mzalendoo!!! tena marufuku kumlipa kwa dollar.., mpe shillingi akanywee chai kesho asubuhi.., dollar ndio nini..??! Tena mkienda kwenye hoteli kubwa kubwa gomeni kulipa kwa dollar..!!! toeni shillingi m*b*w*a nyie...! muwe na uzalendo! Afu acheni ulofa wa kununua vitu online kwa dollar.., kama hawataki shillingi yetu basi wauziane wenyewe hiyo mi-programme yao..! watuache na shillingi yetu! Alafu na nyie ndugu zangu.., kwani ni lazima muende mlimani city?! Nendeni buguruni sokoni au njooni kariakoo..! stupid kabisa.., unaenda kuangali movie pale ili akina ray wafe njaa?! jamani gomeni kwenda kwenye cinemas.., nendeni kwenye vibanda umiza.., bongo muvi imeimarika!!! kuweni wazalendoooo...!!!!!!!!! UZALENDO OYEEEEEEE...!!!!

DON FRANCIS

Nimeipenda hii, japo umefikisha ujumbe kwa mizaha hivi, but true kuna vitu umeviongea vyema hapo na kama hatua ingechukuliwa bila shaka tungekuwa mbali sana, ila ulimbukeni nao ukae pembeni kwanza. Aha ha ah watu wetu wanajipinda na kutengeneza masufuria mazuri ktk vibanda vyao, lakini wapi nakwenda kununua sufuria la marekani, du, Uzalendo oyeee
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
30,138
30,159
Makaunter, viberiti, biscuits, chocolates nk tunazalisha at least tuanze na hivyo basi

Kweli kabisa.., unapoacha kula biskuti ya bongo na kununua ya uarabuni.., unaweka rehani ajira ya binamu yako anaefanya kazi kwenye kiwanda hicho cha biskuti..!
 
3 Reactions
Reply
Top Bottom