Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,575
CCM nao wakiitisha maandamano yao ku-counter ya wapinzani, je itakuwaje?
CCM nao wakiitisha maandamano yao ku-counter ya wapinzani, je itakuwaje?
Ninachofikiria ambacho wanaweza kufanya will put more pressure than maandamano... Siamini katika "kufofanya kitu" naamini katika "kufanya kitu chenye matokeo siyo kufanya kitu kama alama tu".. tumekuwa na alama nyingi sana zisizoelekeza kokote!
NINAONGEA NA WATU WANAO WEZA KUTOA PESA ZA VOCHA ILI KUSAMBAZA UJUMBE HATA KAMA TAREHE IKIPANGWA NYINGINE WATU AMESHAJITOKEZA MTU MMOJA AMEHAIDIWA VOCHA ZA 1.8 MILION NA WENGINE BADO WANA FIKIRIA ,Dawa ni kutumia wananchi na TECHNOLOGIA kuwaondoa hawa mafisadi na wala rushwa wanaoofilisi nchi kwa KASI MPYA, NGUVU MPYA, UFISADI UPYA. Kwa kutumia email na simu za mkononi, dawa ni yao ni KU-TEXT "MGOMO NCHI NZIMA, JANUARY 1, 2008" wao wenyewe wataonja joto ya jiwe. Kuanzia leo message zangu zitakuwa "MGOMO NCHI NZIMA, JANUARY 1, 2008." Tumechoka na huu ufisadi wakati sisi wananchi wa kawaida hata kwenda chuo kikuu hatuwezi.
Next time text "MGOMO" kwa mshikaji au ndugu, mpaka kieleweke na hela za wananchi zirudi.
"MGOMO"
Dawa ni kutumia wananchi na TECHNOLOGIA kuwaondoa hawa mafisadi na wala rushwa wanaoofilisi nchi kwa KASI MPYA, NGUVU MPYA, UFISADI UPYA. Kwa kutumia email na simu za mkononi, dawa ni yao ni KU-TEXT "MGOMO NCHI NZIMA, JANUARY 1, 2008" wao wenyewe wataonja joto ya jiwe. Kuanzia leo message zangu zitakuwa "MGOMO NCHI NZIMA, JANUARY 1, 2008." Tumechoka na huu ufisadi wakati sisi wananchi wa kawaida hata kwenda chuo kikuu hatuwezi.
Next time text "MGOMO" kwa mshikaji au ndugu, mpaka kieleweke na hela za wananchi zirudi.
"MGOMO"
NINAONGEA NA WATU WANAO WEZA KUTOA PESA ZA VOCHA ILI KUSAMBAZA UJUMBE HATA KAMA TAREHE IKIPANGWA NYINGINE WATU AMESHAJITOKEZA MTU MMOJA AMEHAIDIWA VOCHA ZA 1.8 MILION NA WENGINE BADO WANA FIKIRIA ,
HIYO KAZI INAWEZEKANA NIMEFANYA MZAA TU NIMEKUBALIWA KUPEWA VOCHA NA MFANYABIASHARA MMOJA MAARUFU TANZANIA.. AMEOMBA NISIMTAJE,
KARIBUNI SANA TUJENGE TAIFA LETU
Yeah! Strikes zinakubalika kimataifa coz ni njia mojawapo ya kudai haki kidemokrasia.Tanzania sasa inabidi tufikie mahali tudai haki zetu kwa uchungu.Tumedai kwa kutabasamu imeshindikana! sasa tudai kwa uchungu.Let us switch on PEOPLE'S POWER