Mgomo Chuo KIkuu cha Tumaini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo Chuo KIkuu cha Tumaini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Radi, Jan 25, 2011.

 1. R

  Radi Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wana JF Hii sasa inaashiria kwamba sisiemu wasipokuwa makini si muda mrefu ,yatatokea yale yale ya Tunisia na Algeria.

  Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Tumaini sehemu ya Makumira wafunga barabara ya Moshi/Arusha.Polisi watumia mabomu ya machozi kuwatawanya.


  source IPPmedia.
   
 2. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii nchi inaenda wapi? Ninaamini viongozi wa CCM wanaona haya yanayotokea.
   
 3. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  ngoja waibomoe ccm..
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  walichelewa kugoma jamani, mimi nlidhan washapewa chao kumbe bado, migoma ndio suluhisho sahihi la watanzania, kwan ccm wanakusanya hela zote waachotee Dowans for 2015 urais
   
Loading...