Tetesi: Mgomo baridi CCM Bukoba: Viongozi wa chama wahoji matumizi ya malori kusomba watu kwenye mikutano

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
8,664
2,000
Makatibu Uenezi wa Majimbo ya Uchaguzi Mkoani Kagera wameanzisha mgomo baridi wa kuwalazimisha wenye malori ili wasombe watu kwenda mikutano ya kampeini itakayohutubiwa na Waziri Mkuu Majaliwa anayeingia mkoani jumapili 28/9.

Wamedai si vizuri CCM kuendelea kujidanganya kuwa ina watu wakati hawaji kwa utashi wao. Tajiri mmoja wa Missenyi aliyeombwa malori yake amehoji "kwani Wana CCM Wana funza miguuni?".

Alifafanua kuwa wapinzani mbona wanatembea wenyewe?

Mpaka jumamosi jioni, wakuu wa Wilaya walikuwa wakihangaika kutafuta mafuta kwa sababu wenye magari wamegoma kutoa magari yao mpaka wapewe mafuta.
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
3,926

CCM mkoa wa Kagera mnapoteza Muda fanyeni biashara nyingine siasa Sasa basi
 
instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
8,349
2,000
Wote wanataka ubunge bukoba mjini
Chief karumna Vs byabato.

Nani atashinda?
FB_IMG_16011823813424503.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom