Mgombea Wangu wa Urais 2015 ni yule atakayenihakikishia kurudisha nyumba zote za Serikali walizouziwa Viongozi na Wafanyakazi

- Kaka tuliza boli huwa ninashindwa sana kuja hapa kujadili na watu kama wewe wasiokuwa nan uelewa kabisa, Chadema mumehusika sana na kuuzwa kwa nyumba hizi so nyamaza!!

LE Mutuz

We gamba,nilijua mgonjwa wa kichaa kapona kumbe alipata nafuu tu na sasa kichaa kimeludi kama awali,ni mambo mangapi yamepingwa na Chadema na bado maccm kwa uwingi wake bungeni yakapitisha, hivi wa vilebaba yako alikuwa ccm na wewe lazima use ccm
Ona unavyopata shida kuikosoa ccm wamekupiga mkwala huko unakuja Kulamba matapishi yako Mwenyewe eti ccm tunaonyana na kukosoana,mbulula wewe kamuulize kolimba ni nini kilimpata baada ya kusema ccm imekosa dira na mwelekeo

Huwezi kupiga yowe la mwizi kwa Kinon,gona you must shout ili watu wakusikie na huwezi kufanya hivyo ukiwa ndani ya ccm you must get out ili upige kelele kwa uhuru je, hujajifunza ka kamanda Mawazo,Millya,Bananga na wengineo wengi.
 
- Kaka hivi kweli Mwenyekiti wenu aliyekuwa anapokea pesa toka kwa Rostam na Mkono unasema walikataa kuuzwa nyumba za Serikali please nyamaza tu kaka!!

- Nitoke ili niingie wapi Chadema? Are you serious?

Le Mutuz
 
Read between lines!!!! Vita vya Urais kwa Magufuli vimeanza!! Pro makundi!!! Ila kama huna side Le mutuz leo umekuja na bandiko la maana sana!!! Hongera sana mkuu kwa kufunguka kizalendo.

- So lile lichama lenu siasa zenu ni za kugombea Mwenyekiti na Ruzuku so unafikiri kila mtu ana mawazo kama yenu, please!!

Le Mutuz
 
- So lile lichama lenu siasa zenu ni za kugombea Mwenyekiti na Ruzuku so unafikiri kila mtu ana mawazo kama yenu, please!!

Le Mutuz

Baba yako kalianzisha kule.. Wewe walianzisha huku.. Kazi mnayo mwaka huu baba na mwana lol..
 
Samahani naona upo Confused!! "Zilizouziwa" Je, zilizoTaifishwa zinaJUSTIFICATION ganiii? Yaonesha umeshika shoka bila mpini wake!! au ndiyo walewale ANTI-HAKI na anti-Maendeleo???!! FYI, hayo majengo unayo yaona leo ilikuwa ipambazuke na kunyanyuliwa miaka ya 1970~ yenye kufuatana na miundombinu ya kisasa...bila kubaki chuo kimoja for 40yrs!! Wewe bila hao wageni uliyowataja ndiyo MSONGO wa chuki zako tu!! Lakini wageni (wahindi/SA/nk) hao ndiyo waliyo prove kujenga nchi na kukuhakikishia wewe na waina yako kupata huduma zote stahiki na kwa wakati uutakao mwenyewe!!! Laa sivyo ungelikuwa bado unafuata maji ya kuchota na elimu ya unyanyasaji...
_72576905_87a42fb7-ffc1-4c3b-af27-e3f3952d21b9.jpg
_60765479_oxfordpumps1.jpg
Katuni(138).jpg

Duh! Hili litakuwa ponjoro tu...maana limeguswa ile mbaya!

Yaani kagusia kitu kizuri ila mtazamo mbaya..nyumba hizo zilitaifishwa overnight...sawa...lakini hawa wanaozibinafsisha tena si ndio balaa?
KUTAIFISHA...sawa
KUBINAFSISHA..si sawa.
Umeelewa?
 
- Mgombea wangu wa Urais ni yule atakayenihakikishia kurudisha nyumba zote za Serikali zilizouziwa Viongozi na Wafanyakazi wa Serikali kuanzia na Awamu ya Tatu. I don't care what haukuwa uamuzi fair kwa Wananchi wa Taifa hili na ninasema bila kuchanganya maneno ni moja ya pungufu kubwa sana la CCM chama changu. Nilimuunga sana mkono Rais wa sasa wakati wa mbio zake za kugombea Urais nikiamini kwamba ungekuwa ndio uamuzi wake wa kwanza kuufanya akiingia Ikulu, mpaka leo nashangaa kilichomtokea mpaka kutoligusa hili.

- I mean, nyumba karibu zote walizopewa hawa Viongozi na Wafanyakazi wa Serikali, wameishia kuuzia Wahindi na Wa-South Africa ambao sasa wanaporomosha magorofa, ikiwa na maana hawa wanapata Pesheni za walipa kodi wananchi na hela za nyumba za Serikali walizouza na wengine wameingia ubia na hawa wajengaji, kwa kitu gani cha ajabu walichokifanyia Taifa?

- Nasema tena mgombea Urais atakayenihakikishia kurudisha nyumba za Serikali kwa Umma kama zilizvyokuwa mwanzoni, NITAMPA KURA YANGU YA URAIS NA NITAMPIGIA KAMPENI HATA KUANZIA LEO IF I HAVE TOO!!

Le Mutuz
Usiwe na hofu mkuu Le Mutuz, ni mtu mmoja tuu ambaye anaweza kurudisha nyumba hizo ambazo nafurahi kusikia kuwa umepata uchungu mkubwa kwa kilichotokea.
HUYO NI MGOMBEA YEYOTE ATAKAYESIMAMISHWA NA CHADEMA MAANA NDIO SERA YA CHAMA KURUDISHA MALI ZA WATANZANIA.
 
- Kaka hapa ninazungumzia quality za Rais ajaye, kuna usichoelewa or what?

Le Mutuz

Na baba yako anazungumzia kitendo cha sekretary nzima ya chama chako kukaa kimya na kumuachia dogo (Makonda) ndo amchane Lowassa.. Hujaelewa nini sasa hapo..?
 
Ingekuwa Kanisani tungesema umeanza kuokoka, sasa Karibu kwenye harakati za kupigania haki za za wanyonge, suisahau kumwamsha na Lukosi, Riz1, HamyD, na wale ambao wamepigwa uzezeta hawaoni masuala wanadiscuss personalities, hapa mdogo wangu sasa nimekupata "You have made my day today"

Ha ha ha ha, mbavu zanguuuuuuu! !
 
- Kaka hivi kweli Mwenyekiti wenu aliyekuwa anapokea pesa toka kwa Rostam na Mkono unasema walikataa kuuzwa nyumba za Serikali please nyamaza tu kaka!!

- Nitoke ili niingie wapi Chadema? Are you serious?

Le Mutuz
Wewe kila kilichosemwa na Zitto unakiamini? Mwenzio alikuwa na stress za kufukuzwa akaona atoke vipi? Lakini aliowataja wote wamemruka kimanga. Ila nikuulize Le Mutuz hata wewe unaamini Rostam anaweza mhonga Mbowe?
 
Siku za mwisho zikikaribia kila mwanasiasa anaongea sense, anaongea vitu anavyojua wananchi wanahitaji kumsikiliza.

Mpe kura sasa!
 
naomba niongee ukweli mimi mama angu ni mwalimu wa shule ya msingi kwa miaka ming hakubahatika kujenga nyumba tuliish kwenye nyumba za shule tu..mnamo 2003 tuliibahatika kupata nyumba ya serikali ambazo zilikuwa pemben ya mji ambazo zilikuwa chakavu sana tuliuziwa kwa mkopo..tulilipa kwa awamu tba mpaka tukamaliza.kwa sasa mama yangu kastaafu na nyumba kakarabati na kuiboresha..sasa navoskia kuna kurudisha nyumba za serikali nakuwa sielewi sielew....
 
- So lile lichama lenu siasa zenu ni za kugombea Mwenyekiti na Ruzuku so unafikiri kila mtu ana mawazo kama yenu, please!!

Le Mutuz

Mkuu Le Mutuz, mimi sina chama ila ni mpenda maendeleo ndiyo maana hata wewe ulipoleta issue ya kutaifisha nyumba nimeipenda sana na nimekusifia. Sasa mambo ya kuniunganisha tena na vyama yanatokea wapi??? Najua fika wewe ni CCM damu damu na ni lazima utakuwa na kundi lako maana CCM ni mafundi wa makundi!!! Si mnaona mnavytoana macho?? Akitoka leo huyu Maelezo au kuongea na media home basi kesho yake anatoke mwingie ana counter!!! Hizo ndizo siasa za maji taka wanaita wanasiasa wasomi!!!
 
Duh! Hili litakuwa ponjoro tu...maana limeguswa ile mbaya!

Yaani kagusia kitu kizuri ila mtazamo mbaya..nyumba hizo zilitaifishwa overnight...sawa...lakini hawa wanaozibinafsisha tena si ndio balaa?
KUTAIFISHA...sawa
KUBINAFSISHA..si sawa.
Umeelewa?
Mwanangu TZ, Nashukuru mungu sana kunifadhili upoonjoro au kadhalika, kulikoni!! " " Yaani wewe umeridhika siye kuzikwa mahousi!! kwa hiyo nyoka (joka) lilelile linaendelea kula mayai ya kuku,bata,kobe na watanzania, au siyo mkuu!!?? Wewe kuwa mkweli na tazama kwa macho yako mwenyewe uone watawala wenu wanavyo wapelekesha!!! Tena fungua bongo ufahamu kwako uone unyama wanaowafanyia raia dhaifu!! halafu ndo useme"'' Mkuki kwa ng'uruwe eee lakini kwa binaadamu????? kweli mkuu kila mazingira ina hali halisi ya viumbe vyake,!! hivyo system ileile inayotumika porini na mbugani myama mkubwa/mkali humla myama mnyonge Eeee umenielewaaa? Sasa endelea, endelea kuishi utajifunza.... Mwenzio nipo poa ila nakutakia heri na amani.
 
Magufuli kitu gn juzi kakimbia kujibu hoja ya vle nyumba za serikal walizouzia wafanyakaz kugeuzwa baa kinyume na taratibu hajakaa saw anaend kutupigia picha za diff pouses kwny daraja lililovinjika hpo kuna nn wajamen.lets say ingekuw majuu wazir hisika pangekuw hapatosh hku tumezoea midosho yn atakayepat kura yngu kwakwl inabid awe garanteed na sera zilizocmama na zenye specific tim ya kuaccomplish othawz tutaendelea kuwasha vibatari baharin kukimbizan na upepo.
 
Back
Top Bottom