Mgombea Wangu Wa Urais Huyu Hapa!!

Raimundo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Messages
13,537
Likes
10,929
Points
280

Raimundo

JF-Expert Member
Joined May 23, 2009
13,537 10,929 280
- Mgombea wangu wa Urais ni yule atakayenihakikishia kurudisha nyumba zote za Serikali zilizouziwa Viongozi na Wafanyakazi wa Serikali kuanzia na Awamu ya Tatu. I don't care what haukuwa uamuzi fair kwa Wananchi wa Taifa hili na ninasema bila kuchanganya maneno ni moja ya pungufu kubwa sana la CCM chama changu. Nilimuunga sana mkono Rais wa sasa wakati wa mbio zake za kugombea Urais nikiamini kwamba ungekuwa ndio uamuzi wake wa kwanza kuufanya akiingia Ikulu, mpaka leo nashangaa kilichomtokea mpaka kutoligusa hili.

- I mean, nyumba karibu zote walizopewa hawa Viongozi na Wafanyakazi wa Serikali, wameishia kuuzia Wahindi na Wa-South Africa ambao sasa wanaporomosha magorofa, ikiwa na maana hawa wanapata Pesheni za walipa kodi wananchi na hela za nyumba za Serikali walizouza na wengine wameingia ubia na hawa wajengaji, kwa kitu gani cha ajabu walichokifanyia Taifa?

- Nasema tena mgombea Urais atakayenihakikishia kurudisha nyumba za Serikali kwa Umma kama zilizvyokuwa mwanzoni, NITAMPA KURA YANGU YA URAIS NA NITAMPIGIA KAMPENI HATA KUANZIA LEO IF I HAVE TOO!!

Le Mutuz
Mwisho wa siku aliyeuza ndo alikuja kuwa mgombea wako.
 
kabila01

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2009
Messages
3,488
Likes
2,736
Points
280

kabila01

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2009
3,488 2,736 280
- Mgombea wangu wa Urais ni yule atakayenihakikishia kurudisha nyumba zote za Serikali zilizouziwa Viongozi na Wafanyakazi wa Serikali kuanzia na Awamu ya Tatu. I don't care what haukuwa uamuzi fair kwa Wananchi wa Taifa hili na ninasema bila kuchanganya maneno ni moja ya pungufu kubwa sana la CCM chama changu. Nilimuunga sana mkono Rais wa sasa wakati wa mbio zake za kugombea Urais nikiamini kwamba ungekuwa ndio uamuzi wake wa kwanza kuufanya akiingia Ikulu, mpaka leo nashangaa kilichomtokea mpaka kutoligusa hili.

- I mean, nyumba karibu zote walizopewa hawa Viongozi na Wafanyakazi wa Serikali, wameishia kuuzia Wahindi na Wa-South Africa ambao sasa wanaporomosha magorofa, ikiwa na maana hawa wanapata Pesheni za walipa kodi wananchi na hela za nyumba za Serikali walizouza na wengine wameingia ubia na hawa wajengaji, kwa kitu gani cha ajabu walichokifanyia Taifa?

- Nasema tena mgombea Urais atakayenihakikishia kurudisha nyumba za Serikali kwa Umma kama zilizvyokuwa mwanzoni, NITAMPA KURA YANGU YA URAIS NA NITAMPIGIA KAMPENI HATA KUANZIA LEO IF I HAVE TOO!!

Le Mutuz
Tucheke kihutu ...............................
 
gm man

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Messages
388
Likes
410
Points
80

gm man

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2017
388 410 80
hahahaaaaaaaaaa...naona muuzaji kawa mkuu..bro william ameamua kuunga mkono serikali ya jiwe...na kila siku anammwagia masifa mengi tuuu..amesahau kuwa aliwahi kuweka sifa za raisi anaye muhitaji humu
 
Papushikashi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Messages
5,175
Likes
4,441
Points
280

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2016
5,175 4,441 280
Ingekuwa Kanisani tungesema umeanza kuokoka, sasa Karibu kwenye harakati za kupigania haki za za wanyonge, suisahau kumwamsha na Lukosi, Riz1, HamyD, na wale ambao wamepigwa uzezeta hawaoni masuala wanadiscuss personalities, hapa mdogo wangu sasa nimekupata "You have made my day today"
hili kaburi hili sijui ni inchi ngapi kwenda chini!!!!!
 
gm man

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Messages
388
Likes
410
Points
80

gm man

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2017
388 410 80
Na kura akampa na sifa akammwagia
unajua jiwe alikuja na sera nzuri sana 2015 wakati wa kampeni ambapo aliwateka watu wengi..ndo mana hata jana wafanya kazi kule iringa wamebaki mdomo wazi baada ya jiwe kusema hatoweza kuongeza mshahara wakiti kipindi cha kampeni aliwaahidi kuongeza...ninacho mlaumu le mutuz ni kwanini ameshindwa kusimamia msimamo wake!!!!
 
Forum statistics

Threads 1,189,542
Members 450,716
Posts 27,639,676