life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,031
Samahani naona upo Confused!! "Zilizouziwa" Je, zilizoTaifishwa zinaJUSTIFICATION ganiii? Yaonesha umeshika shoka bila mpini wake!! au ndiyo walewale ANTI-HAKI na anti-Maendeleo???!! FYI, hayo majengo unayo yaona leo ilikuwa ipambazuke na kunyanyuliwa miaka ya 1970~ yenye kufuatana na miundombinu ya kisasa...bila kubaki chuo kimoja for 40yrs!! Wewe bila hao wageni uliyowataja ndiyo MSONGO wa chuki zako tu!! Lakini wageni (wahindi/SA/nk) hao ndiyo waliyo prove kujenga nchi na kukuhakikishia wewe na waina yako kupata huduma zote stahiki na kwa wakati uutakao mwenyewe!!! Laa sivyo ungelikuwa bado unafuata maji ya kuchota na elimu ya unyanyasaji...- Mgombea wangu wa Urais ni yule atakayenihakikishia kurudisha nyumba zote za Serikali zilizouziwa Viongozi na Wafanyakazi wa Serikali kuanzia na Awamu ya Tatu. I don't care what haukuwa uamuzi fair kwa Wananchi wa Taifa hili na ninasema bila kuchanganya maneno ni moja ya pungufu kubwa sana la CCM chama changu. Nilimuunga sana mkono Rais wa sasa wakati wa mbio zake za kugombea Urais nikiamini kwamba ungekuwa ndio uamuzi wake wa kwanza kuufanya akiingia Ikulu, mpaka leo nashangaa kilichomtokea mpaka kutoligusa hili.
- I mean, nyumba karibu zote walizopewa hawa Viongozi na Wafanyakazi wa Serikali, wameishia kuuzia Wahindi na Wa-South Africa ambao sasa wanaporomosha magorofa, ikiwa na maana hawa wanapata Pesheni za walipa kodi wananchi na hela za nyumba za Serikali walizouza na wengine wameingia ubia na hawa wajengaji, kwa kitu gani cha ajabu walichokifanyia Taifa?
- Nasema tena mgombea Urais atakayenihakikishia kurudisha nyumba za Serikali kwa Umma kama zilizvyokuwa mwanzoni, NITAMPA KURA YANGU YA URAIS NA NITAMPIGIA KAMPENI HATA KUANZIA LEO IF I HAVE TOO!!
Le Mutuz