Dr Garangi
Senior Member
- Oct 3, 2017
- 120
- 120
Salama mkuu,watu waliona mbali sanaThis is a figment of your own imagination; na hiyo source yako imekwambia njozi zake tu kulingana na vested interests zake kisiasa; CCM ni taasisi kubwa yenye factions nyingi zenye interests tofauti tofauti ambazo lazima zipitie mizengwe na minyukano mingi kabla ya kufikia uamuzi! kumbuka a week in politics is a very very long time! Ukianza kuamini sasa hivi kwamba John "Pombekali" Magufuli ndie atakuwa mgombea wa CCM come 2015; that is too far fetched!!!