Elections 2015 Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Wanabodi,

Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi, ambaye ni mtu wa kuaminika na ni kada wa Chama cha Mapinduzi-CCM, akanieleza seriously habari za kushtusha kidogo ambazo mimi pia zimenisikitisha, kunihuzunisha, kuniogopesha na kunisononesha!, kuwa eti imeishaamuliwa mgombea wa urais wa mwaka 2015 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi-CCM ni Mhe. John Pombe Magufuli!.

Kilichonistua, kunihuzunisha, kunisikitisha na kunisononesha na kunigopesha, ni the reasons behind alizonitajia ambazo ndizo zimepelekea CCM kuamua why mgombea wake ni lazima awe John Pombe Magufuli tuu, and no one else!.

Kwa vile sababu hizo alizonitajia, baadhi kweli ni justifiable na nyingine sio tuu ni unjustifiable!, bali hazikubaliki kabisa katika Tanzania ya leo!. Naomba kwa sasa nisizitaje kwanza hizo sababu, kwa sababu habari zenyewe nimezisikia from a single source, nahitaji kwanza kufanya double check, cross check na kupata collaborative verification na attribution third parties ili nijiridhishe kuwa ni habari za kweli na kuthibitisha kuwa kumbe hivyo ndivyo the inner CCM inavyoweza kufikia maamuzi based on hayo niliyoyasikia!, then nitaziweka hadharani hizo sababu za CCM on Why ni Magufuli na kiukweli mtashangaa!.

Kwa kawaida sisi waandishi, ukipata taarifa kama hii, huwa inaitwa "news tip", haukimbilii kuiandika mbio mbio mpaka kwanza uifanyie verification kwa kui double check na kui crross check ili kuithibitisha ukweli wa taarifa yenyewe, lakini kwa vile sasa tunaishi kwenye "the world of information age", nimeamua kuileta hii "news tip" humu jf, hivi hivi ikiwa kwenye hatua ya "tip" kabla hata ya verification, ili wewe kama mwana JF, uipate ile advantage ya JF, "be the first to know!", hivyo nawaombeni tuu sasa mkae mkijua, "Mgombea wa CCM 2015 ni John Pombe Magufuli!". Hili limenistua kwa sababu kwa tuliomfuatilia Magufuli kauli zake na matendo, huyu sio mtu mzima sana, anafanya maamuzi ya papara na kukurupuka, hivyo akipita, ana chance ya kuja kuwa the worst dictator this nation has ever had.

Nikiisha "confirm" neno "tetesi" litaondolewa na kuwa replaced na neno "confirmed!", na nitaziweka hizo sababu ila sasa ndio zijadiliwe!, na nawahakikishia wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili, mkizisikia hizo sababu za CCM kwa nini ni Magufuli!, na nyinyi pia zitawatisha, zitawashtua, kuwahuzunisha, kuwasikitisha na kuwasononesha!. Naomba nisiwatajie jina la huyo source wangu chini ya kinga ya kihabari inayoitwa "The Confidentiality of the source", na hapa unaweza kukuta hata Magufuli mwenyewe bado hajui, kwa sababu hii tip ni ya the inner circle, Magufuli hayuko kwenye the inner circle!

NB. Sio kila thread ni lazima ichangiwe, saa nyingine itoshe kujisomea tuu na kujipitia bila kuchangia chochote!. Hii ni just a news tip, kwa vile nimewaahidi naifanyia verification kuithibitisha, nawaombeni msiniulize swali lolote at this stage, kwa sababu sitajibu chochote!, and if possible nawashauri na nyingi msome FYE only na sio lazime mchangie kwa sasa na badala yake mvute subira kusubiria verification.

Sababu ya kuiwahisha humu JF kabla ya verification ni ili tuu wewe kama mwana JF to be the first to know!. Information is power!, if you are the first to know, then you'll have the powers to make good things happen or not to happen if they are bad things!.

Asante.
Paskali

Update: 12/07/2015

Leo hili limetimia ni kweli aliyepita ni Magufuli, nimezitafakari sababu nilizotajiwa ile siku napewa tetesi hii, na kuzipima na hiki kilichotokea, nimejikuta nimelazimika kutoziamini kuwa zile nilizosikia ndizo sababu zenyewe halisi.

Kwa sisi waandishi tuna kanuni, ukilisikia jambo, kama huliamini, then usiliseme wala kuliandika, hivyo hizo sababu nilisopewa siku hiyo, on why ni Magufuli, siziamini, naomba nisiziseme kabisa, hivyo naomba tuchukulie kupitishwa kwa jina la John Pombe Magufuli kumetokea tuu naturally, bila any pre meditated moves, na hili bandiko lichukuliwa tuu kama just a coincidence, nilisemani Magufuli na kweli akawa Magufuli coincidentally.

Kwa mtakaonielewa asanteni, kwa msio nielewa samahanini sana!.

Hongera sana John Pombe Joseph Magufuli!.

Paskali
Hapa mkuu Paskali hukututendea haki members na hususani tunaofuatilia mabandiko yako.
Uweke hapa hizo sababu hata kama wewe kuziamini wacha tuzipime pia na sisi.
Ningependa kujua pia kama baada ya maono yako juu ya Magufuli uliyemuhofia ndiye huyu ama ala?
 
Ukimuendea chemba atakuambia kanisa katoliki ndo limeamua
 
Hapa mkuu Paskali hukututendea haki members na hususani tunaofuatilia mabandiko yako.
Uweke hapa hizo sababu hata kama wewe kuziamini wacha tuzipime pia na sisi.
Kuna vitu hata ukivijua hupaswi kuvisema kwa sababu once ukishavisema then the damage is irreversible!.

Mfano mmepata mgeni, wa kike mchumba wa mtoto wenu, akatayarishiwa chumba cha wageni, akalala. Asubuhi akadamka kwenda kuoga huku nyuma mawifi wakaja kumuamsha walipomkuta bafuni wakaamua kumtandikia kitanda. Wakakuta tandiko limeloa mkojo, wakaconclude wifi yao ni kikojozi. Taarifa ikafikishwa kwa mama mkwe, wakaamua uchumba uvunjwe hakuna tena ruhusa ya kijana wao kuoa kikojozi!.

Mtoto wa watu akafungashwa virago vyake akarudishwa kwao asubuhi hiyo hiyo, kosa ni kikojozi!.

Masikini mtoto wa watu aliangua kilio na alipofika kwao familia nzima waliangua kilio na mijitu ya miraba miine ilivamia zizi, na kuchukua ng'ombe wa mahari ili kurejesha mahari.

Baada ya hayo kufanyika. Jioni walipokuwa wanakula, kuna mtoto mdogo wa miaka mitano ambapo hapo ni kwa bibi akawa anamuulizia yule mgeni wa jana. Akaulizwa unamtafutia nini, ndipo mtoto akasema anamtafuta kumuomba msamaha usiku alipitiwa na usingizi hivyo kukojoa kitandani akaamka mapema na kuhamia chumba kwa dada!.

Vipi mtarejea ukweni kuomba msamaha na uchumba uendelee?. Kuna vitu ukivijua they are better kept close than let loose.

Mkuu Paskali,kwa maslahi mapana ya taifa hakuna namna hata kama kutakuwa na damage ama imeshapatikana,ni kutuachia legacy ya kuwa alitokea mtu mmoja paskali maandishi yake yalikuwa ni ya weledi sana,pengine kwa muda ambao umebakiwa nao hapa duniani tuwe na tahadhari kubwa pale utakapoweka angalizo.
Ungetuwekea sababu ulizobaki nazo naamini ungeacha mafunzo kwa vizazi vya sasa na vijavyo.
Lakini sio mbaya,hili nalo limepita hakuna namna tena.
 
Mgombea awe Bernard, awe Edward, Awe Samuel, awe John hata Harrison wote hao si suluhisho la ufukara, umasikini, ufisadi na matatizo yote tunayokabiliana nayo Watanzania...

Wote hao ni watoto wa baba mmoja wanaojivika tu mavazi tofauti, wote wapo kwa maslahi ya kutetea na kulinda sera na ilani za CCM...

Kama kutatokea mwanadamu atakayeingia kwenye fikra zetu na kubadilisha mitizamo yetu sisi Watanzania basi mtu huyo ndiye atayestahili kuwa kiongozi wa nchi...

Hawa mnaowataja kwao wao jukumu la kwanza ni kutetea chama chao (CCM), pili kutetea maslahi yao halafu tatu na mwisho ndio wanawakumbuka wananchi...

Bahati mbaya sana sisi Watanzania ni watu tusiojitambua, leo tunaweza kuonesha mahaba ya dhati kwa mtu fulani kwa shangwe na vigelegele lakini kitambo kidogo tu kijacho tutamtusi yule bwana tuliyempenda kwa roho na nafsi zetu na kumuona hafai...

Kiongozi akiwajibika kuyafanya yanayomfanya awe kiongoi wa nafasi fulani basi mtu huyo tutamuona Mungu mtu, tutapiga zumari na kupaza sauti kuwa huyu ndiye afaaye kwa kumpamba lakini tunasahau kwamba huyu katimiza tu wajibu wake na sio kwamba kafanya jambo la ziada...

Huwezi kukesha na kulisifia paa la nyumba yako kuwa limekukinga na mvua pamoja na jua, utaonekana mwehu kwa kuwa hizo ndio kazi za paa...lakini utaonekana wa maana kama paa hilo likikukinga na tufani ya kimbuka na dhoruba maana hapo limefanya kazi ya ziada.

Uwajibikaji thabiti pekee wa kina John, Edward, Bernard hauwafanyi kuwa ndio watu stahiki kwa uongozi wa nchi, uongozi wa nchi una zaidi ya kutimiza majukumu.

Hebu tujiulize hali za majimbo ya uchaguzi za hawa mabwana zikoje, wamefanya nini huko majimboni mwao, wametatua kero zipi, wamekuwa madarakani kwa nafasi za ubunge kwa muda gani...?

Ngoja niishie hapa....

Uliona mbali.
 
Kuna vitu hata ukivijua hupaswi kuvisema kwa sababu once ukishavisema then the damage is irreversible!.

Mfano mmepata mgeni, wa kike mchumba wa mtoto wenu, akatayarishiwa chumba cha wageni, akalala. Asubuhi akadamka kwenda kuoga huku nyuma mawifi wakaja kumuamsha walipomkuta bafuni wakaamua kumtandikia kitanda. Wakakuta tandiko limeloa mkojo, wakaconclude wifi yao ni kikojozi. Taarifa ikafikishwa kwa mama mkwe, wakaamua uchumba uvunjwe hakuna tena ruhusa ya kijana wao kuoa kikojozi!.

Mtoto wa watu akafungashwa virago vyake akarudishwa kwao asubuhi hiyo hiyo, kosa ni kikojozi!.

Masikini mtoto wa watu aliangua kilio na alipofika kwao familia nzima waliangua kilio na mijitu ya miraba miine ilivamia zizi, na kuchukua ng'ombe wa mahari ili kurejesha mahari.

Baada ya hayo kufanyika. Jioni walipokuwa wanakula, kuna mtoto mdogo wa miaka mitano ambapo hapo ni kwa bibi akawa anamuulizia yule mgeni wa jana. Akaulizwa unamtafutia nini, ndipo mtoto akasema anamtafuta kumuomba msamaha usiku alipitiwa na usingizi hivyo kukojoa kitandani akaamka mapema na kuhamia chumba kwa dada!.

Vipi mtarejea ukweni kuomba msamaha na uchumba uendelee?. Kuna vitu ukivijua they are better kept close than let loose.

Paskali

Hauwezi kuvunja uchumba kwasababu ya kukojoa kitandani. Tafuta sababu nyingine ya kutufunga mdomo.
 
Katika vitu walivyokosea CCM ni kumpa huyu MTU uraisi watajuta sana.Siasa kwa sasa imebadilika ipo kwa vijana sana sasa kama unatengeneza mazingira mabovu kwa vijana kama anavyofanya huyu bwana ajira hakuna na mengineyo ur wrong way to go.
 
Mkuu Paskali,kwa maslahi mapana ya taifa hakuna namna hata kama kutakuwa na damage ama imeshapatikana,ni kutuachia legacy ya kuwa alitokea mtu mmoja paskali maandishi yake yalikuwa ni ya weledi sana,pengine kwa muda ambao umebakiwa nao hapa duniani tuwe na tahadhari kubwa pale utakapoweka angalizo.
Ungetuwekea sababu ulizobaki nazo naamini ungeacha mafunzo kwa vizazi vya sasa na vijavyo.
Lakini sio mbaya,hili nalo limepita hakuna namna tena.
Mkuu Mpalakugenda, kwenye fani ya uandishi kuna kitu kinaitwa responsible journalism ambapo mwandishi yoyote makini anapaswa kutanguliza mbele maslahi ya taifa kwanza, hivyo kabla hujaandika taarifa fulani hata kama ni kweli, then unajiuliza jee nikiiripoti ina maslahi kwa taifa?!.

Mfano wakati wa Mwalimu Nyerere kulitolewa tip kuwa ni Mtutsi. Mkapa akatolewa tip ni Mmakonde wa Nchumbiji. Hata kama unampata mtu anayekupa uthibitisho kuwa tip hizo ni za kweli, a responsible journalist hawezi kuandika hayo kwa sababu sio habari za kujenga bali kubomoa.Hivyo unaachana nazo.

Natolea tuu mfano, ikitokea mimi mwandishi nimepewa a tip fulani kuwa wewe Mpalakugenda asili yako haswa ni Mhutu, au ni Banyamulenge, hukuzaliwa Tanzania na wala wazazi wako sio Watanzania, bali ulizaliwa huko ulikozaliwa, kisha wewe na wazazi wako mkahamia Tanzania ukiwa mdogo, ukakulia Tanzania, ukasomea Tanzania, ukazungumza lugha ya wenyeji wa hapo ulipokulia na ukahesabika ni Mtanzania. Ikitokea ukachaguliwa nafasi muhimu, jee ni busara kwa mimi kama mwandishi kuandika habari za asili yako wewe Mpalakugenda?.

Nikiiripoti story ya kuwa wewe ni Mhutu na sii Mtanzania asili, habari hiyo itakuwa ni ya kujenga au kubomoa?. Na nikiiripoti kuwa ni Mhutu, taarifa ya Uhutu wako ina maslahi kwa taifa?. Ukiishapima na kuiona haina maslahi kwa taifa, then unaachana nayo!.

Vivyo hivyo lets practice responsible journalism hii kitu tuachane nayo haina maslahi kwa taifa.

Vivyo hivyo lets practice responsible jourlism hii kitu tuachane nayo haina maslahi kwa taifa.

Paskali
Sawa Paskali,nakubaliana kutokukubaliana. Sasa naelewa ndio maana kuna wenzetu hawaoni shida kufanya mikataba ya kiujanja ujanja inayoligharimu taifa. Ingawa hii pia sio wote wanaweza kuwa hivyo.
 
Kukubaliana kutokubaliana ndio ustaarabu wa mijadala.

P.
 
Mkuu Mpalakugenda, kwenye fani ya uandishi kuna kitu kinaitwa responsible journalism ambapo mwandishi yoyote makini anapaswa kutanguliza mbele maslahi ya taifa kwanza, hivyo kabla hujaandika taarifa fulani hata kama ni kweli, then unajiuliza jee nikiiripoti ina maslahi kwa taifa?!.

Mfano wakati wa Mwalimu Nyerere kulitolewa tip kuwa ni Mtutsi. Mkapa akatolewa tip ni Mmakonde wa Nchumbiji. Hata kama unampata mtu anayekupa uthibitisho kuwa tip hizo ni za kweli, a responsible journalist hawezi kuandika hayo kwa sababu sio habari za kujenga bali kubomoa.Hivyo unaachana nazo.

Natolea tuu mfano, ikitokea mimi mwandishi nimepewa a tip fulani kuwa wewe Mpalakugenda asili yako haswa ni Mhutu, au ni Banyamulenge, hukuzaliwa Tanzania na wala wazazi wako sio Watanzania, bali ulizaliwa huko ulikozaliwa, kisha wewe na wazazi wako mkahamia Tanzania ukiwa mdogo, ukakulia Tanzania, ukasomea Tanzania, ukazungumza lugha ya wenyeji wa hapo ulipokulia na ukahesabika ni Mtanzania. Ikitokea ukachaguliwa nafasi muhimu, jee ni busara kwa mimi kama mwandishi kuandika habari za asili yako wewe Mpalakugenda?.

Nikiiripoti story ya kuwa wewe ni Mhutu na sii Mtanzania asili, habari hiyo itakuwa ni ya kujenga au kubomoa?. Na nikiiripoti kuwa ni Mhutu, taarifa ya Uhutu wako ina maslahi kwa taifa?. Ukiishapima na kuiona haina maslahi kwa taifa, then unaachana nayo!.

Vivyo hivyo lets practice responsible journalism hii kitu tuachane nayo haina maslahi kwa taifa.

Paskali
angekuwa gwajima asingejali!
 
Wanabodi,

Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi, ambaye ni mtu wa kuaminika na ni kada wa Chama cha Mapinduzi-CCM, akanieleza seriously habari za kushtusha kidogo ambazo mimi zimenitisha, zimenisikitisha, kunihuzunisha, kuniogopesha na kunisononesha!, kuwa eti imeishaamuliwa (situation na nani), mgombea wa urais wa mwaka 2015 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi-CCM ni Mhe. John Pombe Magufuli!.

Kilichonistua, kunitisha, kunihuzunisha, kunisikitisha, kunisononesha na kunigopesha, ni the reasons behind alizonitajia ambazo ndizo zimepelekea CCM kuamua why mgombea wake ni lazima awe John Pombe Magufuli tuu, and no one else!.

Kwa vile sababu hizo alizonitajia, baadhi kweli ni justifiable na nyingine sio tuu ni unjustifiable!, bali hazikubaliki kabisa katika Tanzania ya leo!. Naomba kwa sasa nisizitaje kwanza hizo sababu, kwa sababu habari zenyewe nimezisikia from a single source, nahitaji kwanza kufanya a double check, na cross check ikiwemo kupata a collaborative verification na attribution ya third parties ili nijiridhishe kuwa hii ni habari za kweli na kuthibitisha kuwa kumbe hivyo ndivyo the inner core ya CCM inavyoweza kufikia maamuzi ya mgombea wake based on sababu nilizo tajiwa!, then nitaziweka hadharani hizo sababu za kwa nini CCM imeamua mgombea wake lazima awe ni Magufuli tuu!, na kiukweli mkizisikia hata nyinyi mtashangaa!.

Kwa kawaida sisi waandishi, ukipata taarifa kama hii, huwa inaitwa "a news tip", haukimbilii kuiandika mbio mbio mpaka kwanza uifanyie verification kwa kui double check na kui cross check ili kuthibitisha ukweli wa taarifa yenyewe, baada ya kuthibitisha na kujiridhisha ndipo unaiandika.

Lakini kwa vile sasa tunaishi kwenye "the world of information age", nimeamua kuileta hii "news tip" humu jf, hivi hivi ikiwa kwenye hatua ya "tip" kabla hata ya verification, ili wewe kama mwana JF, uipate ile JF advantage ya "be the first to know!", hivyo nawaombeni tuu sasa mkae mkijua, "Mgombea wa urais wa CCM kwa mwaka 2015 ni John Pombe Magufuli!. Hili la kuamua ni Magufuli, limenistua kidogo kwa sababu kwa tuliomfuatilia Magufuli kwa kauli zake na matendo, huyu sio mtu mzima sana, anafanya baadhi ya maamuzi ya papara na kukurupuka mtindo wa liwalo liwe , hivyo akipita, ana chance ya kuja kuwa the worst dictator this nation has ever had.

Nikiisha "confirm" neno "tetesi" litaondolewa na kuwa replaced na neno "confirmed!", na nitaziweka hizo sababu ila sasa ndio zijadiliwe!, na nawahakikishia wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili, mkizisikia hizo sababu za CCM kwa nini ni Magufuli!, na nyinyi pia zitawashitua, zitawatisha, zitawaogopesha, kuwahuzunisha, kuwasikitisha na kuwasononesha!.

Naomba nisiwatajie jina la huyo source wangu chini ya kinga ya kihabari kwa ma source inayoitwa "The Confidentiality of the source", na hapa wakati naileta taarifa hii humu jf, kwa vile zoezi la kumteua mgombea wa CCM bado liko mbali hadi mwaka ujao, unaweza kukuta hata Magufuli mwenyewe bado hajui kuwa ni yeye ndie atakuwa mgombea wa CCM, kwa sababu walio amua kuwa ni Magufuli sio kikao chochote halali ndani ya CCM bali ni "The Inner Circle" hivyo hii ni tip kutoka kwa "the inner circle", na bahati mbaya sana, Magufuli mwenyewe hayuko kwenye hiyo "the inner circle!".

NB. Sio kila thread ni lazima ichangiwe, saa nyingine itoshe kujisomea tuu na kujipitia bila kuchangia chochote!. Hii ni just a news tip, kwa vile nimewaahidi naifanyia verification kuithibitisha, nawaombeni msiniulize swali lolote at this stage, kwa sababu sitajibu chochote!, and if possible nawashauri na nyingi msome FYE only na sio lazime mchangie kwa sasa na badala yake mvute subira kusubiria verification.

Sababu ya kuiwahisha humu JF kabla ya verification ni ili tuu wewe kama mwana JF to be the first to know!. Information is power!, if you are the first to know, then you'll have the powers to make good things happen or not to happen if they are bad things!.

Asante.
Paskali

Update: 12/07/2015

Leo hili limetimia ni kweli aliyepita ni Magufuli, nimezitafakari sababu nilizotajiwa ile siku napewa tetesi hii, na kuzipima na hiki kilichotokea, nimejikuta nimelazimika kutoziamini kuwa zile nilizosikia ndizo sababu zenyewe halisi.

Kwa sisi waandishi tuna kanuni, ukilisikia jambo, kama huliamini, then usiliseme wala kuliandika, hivyo hizo sababu nilizopewa siku hiyo, on why ni Magufuli, mimi siziamini, naomba nisiziseme kabisa, hivyo naomba tuchukulie kupitishwa kwa jina la John Pombe Magufuli kumetokea tuu naturally, by chance, bila any pre meditated moves, na hili bandiko lichukuliwe tuu kama just a coincidence, kuwa nilisema mgombea wa CCM atakuwa ni Magufuli na kweli ikatokea tuu coincidentally, mgombea wa CCM kweli ni Magufuli.

Kwa mtakaonielewa asanteni kwa kunielewa, na kwa msio nielewa samahanini sana!.

Hongera sana John Pombe Joseph Magufuli kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM.

Paskali
 
Similar Discussions

97 Reactions
Reply
Back
Top Bottom